Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Oct 3, 2011 #1 Wakuu nimeguswa sana na haya maneno kwenye hii T-Shirt mwenye kujua zinapouzwa anijuze na mimi nisipitwe!
Wakuu nimeguswa sana na haya maneno kwenye hii T-Shirt mwenye kujua zinapouzwa anijuze na mimi nisipitwe!
mama D JF-Expert Member Nov 22, 2010 19,763 35,205 Oct 3, 2011 #2 Kuna kingine kimeongezeka! NO GAS ya kupikia naskia inatarajiwa kupatkana kuanzia tar 10 sasa sijui kweli au propaganda!!!
Kuna kingine kimeongezeka! NO GAS ya kupikia naskia inatarajiwa kupatkana kuanzia tar 10 sasa sijui kweli au propaganda!!!
NewDawnTz JF-Expert Member Nov 15, 2010 1,667 362 Oct 3, 2011 #4 mama D said: Kuna kingine kimeongezeka! NO GAS ya kupikia naskia inatarajiwa kupatkana kuanzia tar 10 sasa sijui kweli au propaganda!!! Click to expand... Kuna kingine kimeongezeka ..........NO GOVERNMENT
mama D said: Kuna kingine kimeongezeka! NO GAS ya kupikia naskia inatarajiwa kupatkana kuanzia tar 10 sasa sijui kweli au propaganda!!! Click to expand... Kuna kingine kimeongezeka ..........NO GOVERNMENT
Yummy JF-Expert Member Sep 26, 2011 1,796 1,336 Oct 3, 2011 #6 Ingependeza sana kama watanzania tungevaa hii T-shirt on 9th December...............tumechoshwaaaaaaaaaa.
Ingependeza sana kama watanzania tungevaa hii T-shirt on 9th December...............tumechoshwaaaaaaaaaa.
Nazjaz JF-Expert Member Jan 20, 2011 7,684 8,832 Oct 3, 2011 #7 No employment............. No president............... No national team
Chimunguru JF-Expert Member May 3, 2009 10,678 4,350 Oct 3, 2011 #8 tehe swafi sana zileteni kitaa tuzivae siku ya uhuru wa TANGANYIKA
M Mahona Senior Member Sep 29, 2011 162 13 Oct 3, 2011 #9 Jamani kama na vingine vilivyoongezwa hapo ni sawa, si ndo tayari tumeuzwa?