Jamani nisaidieni ndugu, ununuzi wa gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nisaidieni ndugu, ununuzi wa gari

Discussion in 'Matangazo madogo' started by sekulu, Mar 12, 2011.

 1. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wana JF,
  Naombeni msaada na mnishauri,

  Nataka Kununua Gari ktk Survey yangu nimekuta gari mbili,

  Ya kwanza
  CIF 6790 ni gari ya Mwaka 1998

  Ya pili ni

  CIF USD 9800 ni gari ya mwaka 2002


  Ishu yangu sio Kununua ila ishu ni kutoa coz hii ni mara ya ngu ya kwanza na Kodi za bandalini sijui inakuaje!

  Naombeni mnisaidie
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  bwana sekulu ingekuwa vyema kama ungespecify ni gari gani na pia ukubwa wa injini ili uweze kukokotoa.

  kuna website unaweza kucheki vitu vyote ivyo. Ila kwa hiyo ya 1998 kutakuwa na dumping fee.

  cheki hapaWelcome to GariYangu.com - GariYangu.Com
   
 3. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Asante Sana

  Ya Kwanza ni Harrier na ya pili ni Toyota Kluger V
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  ujazo wange ni cc ngapi kila moja mkuu?
   
 5. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  But hako kalink kanafanya kazi sana, Asante sana
   
 6. s

  sambu JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Kwa haraka haraka, chukua gharama ya gari na geuza hizo dola kwa Tshs. Mfano kama dola ni shs 1520 gari ya kwanza itakuwa 10.32 Million na la pili 14.8Million. Kwa kuwa la kwanza ni zaidi ya miaka 10 kodi yake itakuwas 80% na la pili kodi ni 50% hivyo gharama pamoja na kodi itakuwa 18.5Million na la pili litakuwa 22Million. Kwa haraka gharama inaweza kupungua kidogo ukikokota kodi halisi ila haitazidi hapo. Hapo unaona gari la 1998 ni nafuu kidogo. Ila angalia mambo mengine; mfano gari liko katika hali gani, lina km ngapi, nadhani hizo gari mbili zina engine sawa (2.4L) kama ni kweli, jua hizo gari ziakula mafuta zaidi kwani zina engine kubwa. Kwa uzoefu wangu gari za petrol zenye engine zaidi ya lit 2 zina kula mafuta kuliko zenye engine chini ya hapo.
   
 7. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Asante sana Kaka
   
 8. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mkuu kuna mabadiliko kidogo kuhusiana na mambo ya tra. Yameanza mwezi uliopita, hebu jaribu kufuatilia website ya tra au soma gazeti la mwananchi la jana tar 11/3.
   
Loading...