Jamani nisaidieni mpenzi wangu ana hirizi

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Wana wa JF mambo vp?.Kama kichwa cha habari kilivyojieleza ni mkasa ulomkuta shemeji yangu mdogo wake na mke wangu.Kama anavyoeleza;Ni miaka miwili sasa toka niwe katika uhusiano wa kimapenzi na huyu mwenzi wangu bila shida yoyote.Lakini cha kushangaza na kilichonishtua hivi karibuni kama mwezi mmoja uliopita tulivyoonana nilimkuta amechanjwa chale kuanzia kichwani hadi miguuni na hirizi aloivaa kiunoni.Nilipomuuliza mwenzangu kulikoni uko hivi ni nini kilichokusibu,maana toka tumeonana na wewe sijawahi kukupata ukiwa ktk hali hii.Akanijibu ni mambo ya kwenye ukoo wangu yanayohusiana na mambo ya majina niliyoitwa.Sasa kutokana na jibu hilo alilopewa anasema hajaamimi hivyo akanitaka ushauri nami likawa zito hivyo nimelileta mbele yenu tusaidiane.
 
Inaniuma sana kuona watu bado waamini kwenye ulimwengu wa giza...mpige injili aokoke.
 
Mmh pagumu hapo, ila ni imani tu , ampe somo jamaake kuwa aachane na mambo ya imani zakilong, ona kaaribiwa mwili wake kwa wembe eti kisa Majina...
 
atakuwa anapaa huyo usiku, nadhani jina lake atakuwa anaitwa maepe!!
 
Wana wa JF mambo vp?.Kama kichwa cha habari kilivyojieleza ni mkasa ulomkuta shemeji yangu mdogo wake na mke wangu.Kama anavyoeleza;Ni miaka miwili sasa toka niwe katika uhusiano wa kimapenzi na huyu mwenzi wangu bila shida yoyote.Lakini cha kushangaza na kilichonishtua hivi karibuni kama mwezi mmoja uliopita tulivyoonana nilimkuta amechanjwa chale kuanzia kichwani hadi miguuni na hirizi aloivaa kiunoni.Nilipomuuliza mwenzangu kulikoni uko hivi ni nini kilichokusibu,maana toka tumeonana na wewe sijawahi kukupata ukiwa ktk hali hii.Akanijibu ni mambo ya kwenye ukoo wangu yanayohusiana na mambo ya majina niliyoitwa.Sasa kutokana na jibu hilo alilopewa anasema hajaamimi hivyo akanitaka ushauri nami likawa zito hivyo nimelileta mbele yenu tusaidiane.

nimechanganywa na habari hi haswa nilipotia rangi nyekundu.......................yaani unatuambia unatembea na mdogo wa mke wako?..............kama ni sahihi basi ujue anataka umpige kibuti mkeo...............ili achukue shamba kiujumla...........kwa kukuloga wewe mwenyewe.......kaa mbali naye vinginevyo sahihisha kwanza hiyo sentensi...........
 
Hapana! Hapo anamaanisha maelezo ni ya shemeji yake (mdogo wa mke wake). nadhan umenipata mkuu? Tupo pamoja kaka, tuinue thamani ya shilingi.
 
nimechanganywa na habari hi haswa nilipotia rangi nyekundu.......................yaani unatuambia unatembea na mdogo wa mke wako?..............kama ni sahihi basi ujue anataka umpige kibuti mkeo...............ili achukue shamba kiujumla...........kwa kukuloga wewe mwenyewe.......kaa mbali naye vinginevyo sahihisha kwanza hiyo sentensi...........
<br />

Ruta waitu,
Shemeji wa mleta hoja ndio mwenye mpenzi mvaa hirizi jamani,msaidie mawazo/ushauri ili akamweleze shemeji nini cha kufanya juu ya huyo mvaa hirizi.
Aaa wii tugeza?
Waguma!@
 
nimechanganywa na habari hi haswa nilipotia rangi nyekundu.......................yaani unatuambia unatembea na mdogo wa mke wako?..............kama ni sahihi basi ujue anataka umpige kibuti mkeo...............ili achukue shamba kiujumla...........kwa kukuloga wewe mwenyewe.......kaa mbali naye vinginevyo sahihisha kwanza hiyo sentensi...........
<br />
<br />
Mkuu hujanielewa vizuri nimesema huo ni mkasa ulompata shemeji yangu yaani mdogo wake na mke wangu.Huyo mwenye hirizi na chale ni boyfriend wake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom