Jamani Nisaidieni Mbinu za Kutenganisha Wanandoa!!!

Halafu kwa nini alienda kuolewa na mwenye mapesa yake? Kuna ki2 hapo isije ikawa we mwanaume sarawili
 
aziniye na mwanamke hana akili kabisa, kwasababu anaiangamiza nafsi yake mwenyewe. kifo kinakutafuta, huyo jamaa atakupoteza, usifanye mchezo na mke wa mtu. unataka kuiangamiza nafsi yako, usifikiri utafika mbali, usidanganyike.
 
Mambo vipi familia kubwa ya JF!!

Kwanza naomba samahani kwa hii maada lakini nipo serious kupita maelezo!!
Nilikuwa na demu wangu 2lipendana sana lakini wazazi wake walimpenda zaidi coz waligoma nisimwoe mwanae akawa kaolewa na jamaa mwenye pesa!

Sasa hivi wapo kwenye ndoa wiki 2 lakini naendelea kula TUNDA kama kawa na tunachat nae muda wote hata kuwasiliana full tym!Binti ananipenda na yupo tayari kwa lolote!!

Kabla hajaolewa nilimvisha PETE ya uchumba then jamaa kamalizia PETE ya NDOA!!
Ni kama movie lakini ni kweli sasa hivi 2na mpango wa kumfanya jamaa atoe TARAKA!!

Jamani naomba mnisaidie mbinu za kufanya jamaa atoe talaka coz 2na mipango mingi sana na huyu Binti lazima nimwoe hata kama ni Bomani!! Nifanye nini??!!

Naona unaota ndoto za mchana kilichofungwa duniani na mbiguni kimefungwa
Huyu binti kama alikupenda kweli ni kwa nn alikubali kuolewa ? iweje akubali sasa kuvunja ndoa?
Nashindwa kumwamini huyu binti labda anapenda tu vile mliyokuwa mnakula tunda ndo maana anashindwa kukusahau ,
 
hahahaha ndoa hapana kwa kweli!! ila kwenye sharing is caring hapo tuna du the nidful tu kwa raha zetu!

hayo ya ndoa waachie akina the finest bana we unataka kuoa mara ngapi? We kula maisha wa kuzeeka nae si yupo
 
Siku 1 baada ya ndoa wakati wapo kwenye HONEY MOON katika Hotel 1 hapa mjini,
niliamua kujitoa muhanga jamaa kaenda kukata ticket ubungo mimi nikazama rum!!
Nikamega kwenye the same bed nilitaka jamaa anikute lakini akachelewa sana!!
Mara nikahitajka kwenye majukumu ya kujenga taifa!!!!

sorry 2litaka kuchakachua mada. Nikirudi kwenye mada ni hv kwa sababu umeshahamua kujitoa muhanga nenda anakoishi huyo dada na mumewe kwanza du ze nidful nae kwenye bed alalayo na mmewe ukishamaliza jiachie chaaaaaaaaaaaaaaaaa yaan chali mazee pembeni gilasi ya juisi mpaka mumewe akukute hapo ucsahau nguo zenu mzitapanye pale chini
 
Na hii Posted via Mobile inaweza kutafsiriwaje kipindi hiki cha mvua na baridi kali huko Ulaya?
hahaaaa babu niko hapa guest nakagua na kuandaa mazingira ya wapwaz ili kufunga mwaka kisasa zaidi
 
Tumeshaanza maandalizi yote pia nina akili timamu kabisa!!
Trust me kuwa jamaa hawezi kunipoteza nimeshajiandaa kwa vyote!!
Pls ushauri sasa hivi z too late just nipe MBINU then tutaenda kutubu coz maandiko yanasema hivi
NJOONI NYOTE MLIO ELEMEWA NA MIZIGO NAMI NITAWAPUMZISHA!!

aziniye na mwanamke hana akili kabisa, kwasababu anaiangamiza nafsi yake mwenyewe. kifo kinakutafuta, huyo jamaa atakupoteza, usifanye mchezo na mke wa mtu. unataka kuiangamiza nafsi yako, usifikiri utafika mbali, usidanganyike.
 
Alikubali ili awaridhishe wazazi wake!!
Anavunja ndoa kuonesha TRUE LOVE aliyonayo kwangu!!
Unajua ukikataa kuolewa ni kitu kikubwa but TARAKA haitawashi2a wazazi watasema 2limlazmisha!!

Naona unaota ndoto za mchana kilichofungwa duniani na mbiguni kimefungwa
Huyu binti kama alikupenda kweli ni kwa nn alikubali kuolewa ? iweje akubali sasa kuvunja ndoa?
Nashindwa kumwamini huyu binti labda anapenda tu vile mliyokuwa mnakula tunda ndo maana anashindwa kukusahau ,
 
Alienda kuolewa na mwenye pesa kuwaridhisha wazazi!!!
Hili la mwanaume sarawili nitafute kwenye PM nipe contact zako nisha
DESIGN ile BED kwa GUTA i hope uta enjoy the coming year!!

Halafu kwa nini alienda kuolewa na mwenye mapesa yake? Kuna ki2 hapo isije ikawa we mwanaume sarawili
 
kweli mjini watu ni wajinga ona sasa anawaza ujinga acha kabisa we mgoni mchafuzi mharibifu bila aibu unatoa mawazo ya kishenzi kuonyesha kichwa chako kilivyo lala kweli isitoshe hako ni katoto kama kale ka kivazi cha aibu na wewe nahofu umri wako ni sawa na kile kitoto halafu mvivu kufanya kazi ndo maana unamendea pesa za watu.
ntakupiga nchale
 
Tumeshaanza maandalizi yote pia nina akili timamu kabisa!!
Trust me kuwa jamaa hawezi kunipoteza nimeshajiandaa kwa vyote!!
Pls ushauri sasa hivi z too late just nipe MBINU then tutaenda kutubu coz maandiko yanasema hivi
NJOONI NYOTE MLIO ELEMEWA NA MIZIGO NAMI NITAWAPUMZISHA!!

kweli naona unatamani mungu akupumzishe kwa amani. Kwa heri mi ngoja nilale kidogo nipime hichi kitanda kama kitafaa kwa matumiz kesho
 
Unawaza kama mimi.
Nipe namba ya binti then tupange fumanizi feki, tumpampu mshikaji atoe talaka then tubebe mzigo jumla
Mambo vipi familia kubwa ya JF!!

Kwanza naomba samahani kwa hii maada lakini nipo serious kupita maelezo!!
Nilikuwa na demu wangu 2lipendana sana lakini wazazi wake walimpenda zaidi coz waligoma nisimwoe mwanae akawa kaolewa na jamaa mwenye pesa!

Sasa hivi wapo kwenye ndoa wiki 2 lakini naendelea kula TUNDA kama kawa na tunachat nae muda wote hata kuwasiliana full tym!Binti ananipenda na yupo tayari kwa lolote!!

Kabla hajaolewa nilimvisha PETE ya uchumba then jamaa kamalizia PETE ya NDOA!!
Ni kama movie lakini ni kweli sasa hivi 2na mpango wa kumfanya jamaa atoe TARAKA!!

Jamani naomba mnisaidie mbinu za kufanya jamaa atoe talaka coz 2na mipango mingi sana na huyu Binti lazima nimwoe hata kama ni Bomani!! Nifanye nini??!!
 
Alienda kuolewa na mwenye pesa kuwaridhisha wazazi!!!
Hili la mwanaume sarawili nitafute kwenye PM nipe contact zako nisha
DESIGN ile BED kwa GUTA i hope uta enjoy the coming year!!

2lia ngoja nimalizane na wakubwa halafu wewe utakua wa mwisho au sio babe
 
Post za huyu jamaa zinatiaga wasiwasi .Ni uzushi uzushi tu. Ungetuambia kulikoni mvishane pete then muachane na sasa mnataka kurudiana kwa kuvunja ndoa ya mtu. A reasonable person can not do that.Then unataka tukuadvise jinsi ya kuvunja ndoa hapa JF. Who told you we are here for such insanity?
 
Teh teh teh!! Sio uzushi tatizo zmekaa kitofauti sana ni kama za kusadikika but ni za kweli!!
Tulivishana PETE ili jamaa akasirike aache kuoa but ndo kwanza kaoa!!!
Ni maamuzi yako kunipa MBINU au kuacha mkuu!!!

Post za huyu jamaa zinatiaga wasiwasi .Ni uzushi uzushi tu. Ungetuambia kulikoni mvishane pete then muachane na sasa mnataka kurudiana kwa kuvunja ndoa ya mtu. A reasonable person can not do that.Then unataka tukuadvise jinsi ya kuvunja ndoa hapa JF. Who told you we are here for such insanity?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom