Jamani Nisaidieni Mbinu za Kutenganisha Wanandoa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Nisaidieni Mbinu za Kutenganisha Wanandoa!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eng. Smasher, Dec 22, 2010.

 1. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mambo vipi familia kubwa ya JF!!

  Kwanza naomba samahani kwa hii maada lakini nipo serious kupita maelezo!!
  Nilikuwa na demu wangu 2lipendana sana lakini wazazi wake walimpenda zaidi coz waligoma nisimwoe mwanae akawa kaolewa na jamaa mwenye pesa!

  Sasa hivi wapo kwenye ndoa wiki 2 lakini naendelea kula TUNDA kama kawa na tunachat nae muda wote hata kuwasiliana full tym!Binti ananipenda na yupo tayari kwa lolote!!

  Kabla hajaolewa nilimvisha PETE ya uchumba then jamaa kamalizia PETE ya NDOA!!
  Ni kama movie lakini ni kweli sasa hivi 2na mpango wa kumfanya jamaa atoe TARAKA!!

  Jamani naomba mnisaidie mbinu za kufanya jamaa atoe talaka coz 2na mipango mingi sana na huyu Binti lazima nimwoe hata kama ni Bomani!! Nifanye nini??!!
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wewe!!!!
  unaota?
  ulikuwa wap kuzuia b4 awajaenda kansan?
  km anakupenda kweli ANGEKUWA NA MSIMAMO WA KUMKATAA UYO BWANA MAPESA ILI ABAK NA WEWE..?
  UYO DEMU ANAPENDA MITALA NA SI KM ANAKUPENDA WEWE....kwa kipnd iki issue za kulazimishana km enz zileeeee azipo tena ...ukionyesha msimamo mara mbl tatu bas wazazi wanakuacha uendelee na umpendae....
  endelea kumega mpk pale MTAKAPOFUMANIWA NDO UTAJUA CHA KUFANYA.
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  jaribu kujiweka katika nafasi ya huyo mume, kisha kuna mtu anakugongea mke wako na anataka kuachanisha ndoa yenu, wewe ungejisikiaje?
   
 4. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hallow sweetie, mbona unapatikana kwa kubeep sana?
   
 5. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Cjauna na cjawai sikia kituko kama hiki.Pole sana kubali yaishe,achana nae go on with your life sio kweli kwamba YOU CAN NOT LIVE WITHOUT HER
   
 6. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tulijaribu kila njia ikashindikana hadi hiyo ya kumvika PETE ya uchumba lakini jamaa akavika juu yake ya NDOA!!
  Pls nisaidieni hizo mbinu!!

   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Engineer hebu integrate na kisha udifferentiate hayo maneno ya mdogo wangu Rose80 kisha tufunge hii sredi tukale krismas
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Kweli wewe una matatizo, yaani huoni kua huyo binti ni muongo na hakupendi? simple reasoning, kama sasa ivi yuko kwene ndoa na una-do nae the same applies akija kwako ataendelea ku-do huko kwingine ajuako, sasa je, utakua tayari kusikia stori tamu kama hizo kua shemeji ana midume kibao nje? she was not meant to be with you, think big mpwa mbona wapo wengi tu?
   
 9. semango

  semango JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu wako wengi,sio lazima huyo.kama ilishindikana mwanzoni wakati umeshamvisha na pete ya uchumba, nini kinakufanya ufikirie itawezekana sasa hivi wakati ameshaolewa?ushauri wangu we potezea tu.kwanza demu mwenyewe kakiri kumpenda huyo jamaa ndio maana kaolewa.na kwa ninavyoona amekua anamegwa na huyo jamaa tangu zamani.tafuta kang'amuzi kipya tu, hicho kwanza tayari used kuliko mpaka sasa
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Kiongozi, ukiona hivyo na kuwa uzoefu si unajua kuna mwingine anampata 24/7? LOL
   
 11. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata kama nikijiweka haisaidii coz jamaa anaonekana hampi CARE za kutosha na anajua HAPENDWI ila kalazimisha ndoa!!

   
 12. P

  Paul S.S Verified User

  #12
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  I like it
   
 13. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sawa wapo wengi but not lyk her coz nimeshajaribu lakini nimeshindwa!!
  Naona THERE IZ NO ONE LYK HER!! Pls nipe mbinu

   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Tulia mpwa, utamu upo popote sio kwa huyo tu, huyo ni shetani anaekufanya uone kua huwezi toka ukafanya maamuzi yako binafsi! be the Man, nitafurahi kama utaahidi kubadilika kabla ya mwaka mpya kuanza
   
 15. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naomba muelewe kuwa nilimvika pete ya uchumba wiki 1 kabla ya NDOA!!
  Ili jamaa akiona aahirishe coz walikuwa kwenye process ya NDOA yao!!

   
 16. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I dont think is a good idea,,, what u have to do is go on with someone else na utasahau tuu nini kilipita,,,kwani wenzio wako kwenye ndoa tayari kama kweli wampenda basi muache muokoe na mitihani kama hiyo,,,na we tafuta wako kwani hata wazazi wake hawkutaki,,,
   
 17. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #17
  Dec 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Mpwa, pima mwenyewe sasa ila nashindwa kukuelewa yaani kweli mtu mmekutana tu leo useme huwezi kuishi bila yeye? think twice and not sink twice
   
 18. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  THANKS kwa ushauri lakini naomba mnipe ushauri huku mnanipa na MBINU hata chache pls ili nijaribu vyote!!!

   
 19. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hatujakutana leo mkuu but ni LONG TYM!!
  Sio kwamba siwezi kuishi bila yeye lakini mimi naona ndo aliyemit vigezo vyote vya kuwa MKE WANGU!!

   
 20. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #20
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yeah, hopefully you are right!!!!!
   
Loading...