Jamani nisaidieni ipi lotion au mafuta mazuri ya kung'arisha ngozi

Hellow guys...........

Nisaidieni lotion nzur ambayo inang'arisha ngozi

Iwe bei kati ya kuanzia 3000 mpaka 10000
Iwe kwenye hilo gape la 3000------na------10000
Hata kwa kunipm pls
Pls wadau
Nipo serious
Toplemon imegoma mkuu?
 
Bei gani?inang'arisha vizur eeh
Kama ni mpenzi wa natural skin itakufaa kwani haing'arishi mpaka ikakera. Bei yake inategemeana na ulipo na kiwango cha mafuta. Yapo ya kuanzia 2000 kwa ml.50 mpaka ya sh.40,000 kwa lt.moja
 
Tumia mafuta ya nazi minara elf2,000 na kuna parachute madogo elf5 na makubwa elf8 angalia yasiyo na maandishi ya kiarabu hayo ndio og
 
Asante
 
Hayo ya parachute yanapatika maduka ya vipodozi?vipi kung'arisha?
 
Kama ni mpenzi wa natural skin itakufaa kwani haing'arishi mpaka ikakera. Bei yake inategemeana na ulipo na kiwango cha mafuta. Yapo ya kuanzia 2000 kwa ml.50 mpaka ya sh.40,000 kwa lt.moja
Ngoja nikaitafute hiyo olive oil mkuu i hope nitang'aa
 
Kama ni mpenzi wa natural skin itakufaa kwani haing'arishi mpaka ikakera. Bei yake inategemeana na ulipo na kiwango cha mafuta. Yapo ya kuanzia 2000 kwa ml.50 mpaka ya sh.40,000 kwa lt.moja
Hivi kuna olive oil ya kupaka mwilini.?Nna ngozi kavu mpaka naichukia.
 
Hizi
Screenshot_20181027-225835~2.jpeg
Screenshot_20181027-225651~2.jpeg
 
Ipi lotion ya kiume inafaa kwa men?isiwe inachubua na iwe inasoftisha tu ngozi
Nivea for men kwenye mwili pia mafuta ya nazi napaka kwenye nywele usisahau scrub inakufanya ugae zaidi mim natumia scrub ya lemon pia usisahau kula vizuri kama unauwezo wa kula vizuri nunua vidoge vya vitamin B coz ngozi nzuri inajengwa toka ndani pia usisahau perfume shalis ni tamu sana nimeshahau hadi kutongoza wajileta wenyewe
 
Scrub ipi ni poa?

Scrub ya lemon ndo ipoje?
 
Back
Top Bottom