Jamani Nipeni Polee!!

chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,439
1,732
Yaliyo nikuta leo ni makubwa nimepanda basi fulani kutoka Mwanza kuelekea Dar. Niliambiwa ndilo linaaminika. Tulipofika Shinyanga disck za tairi la mbele zikawa zimeharibika. mafundi walitumia masaa mawili kufix ze problem.

Tumefika Singida ze same thing happenned mpaka wa saa huu tuko Singida tunasubiri mafundi wafix tatizo.

Hapa kufika kesho badala ya saa mbili usiku.
 
ndio tatizo la kusafiri kimya kimya.......nimepita hapo muda si mrefu naelekea Dar na nipo na private car....only 2 people in the car......
 
Mi nilifikiri mmepata ajali bwana!!
Hayo matatizo ni ya kawaida nchini petu.

Marry mimi sijazoea. si unajua kama unapita angani hvi vitu haviko! leo nimeona nipite chini ili niione nchi yetu vizuri, ndo haya tena., Vipi lini nikutoe, ahadi yangu bado naikumbuka
 
Ungeanzia hapa kwe2 wala usingepata taabu yote hiyo. Anyway pole kwa kupoteza time chardams.
 
Last edited by a moderator:
ndio tatizo la kusafiri kimya kimya.......nimepita hapo muda si mrefu naelekea Dar na nipo na private car....only 2 people in the car......

Tumepita kweli muda si mrefu, ila tayari umeshalikisha siri kuwa tupo wawili, PakaJimmy sitaki maswali katika hili.
 
Last edited by a moderator:
Haya ndo tunaianza safari tena nikifika mjini nitawajulisha, marry usisahau ahadi yetu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom