Jamani nimezaliwa leo

Baba Erick

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
483
75
Hello wanaJF ninayofuraha kuwaalika katika birthday party yangu hapa nyumbani i wish niwe nanyi wadau kwani MMU makes my life very comfortable ila mazingira hayaruhusu. LOVE U ALL
 
Hata mimi nimezaliwa leo, miaka mingi iliyopita. Happy B'Day twin
 
Hello wanaJF ninayofuraha kuwaalika katika birthday party yangu hapa nyumbani i wish niwe nanyi wadau kwani MMU makes my life very comfortable ila mazingira hayaruhusu. LOVE U ALL

unaishi wapi Mkuu nikuletee angalau thubu ya kongoro? Hepi besdei ndugu yangu.Hauolayunao?
mkuu lazima uwe unanuka hela maana mnashea besdei na Kibopa Yusuf Manji,hahahahaaaa!!!!
 
HONGERA ...........LKN UMEKUMBUKA KUVAA NEPI?Maana huo mkojo.
 
unaishi wapi Mkuu nikuletee angalau thubu ya kongoro? Hepi besdei ndugu yangu.Hauolayunao?
mkuu lazima uwe unanuka hela maana mnashea besdei na Kibopa Yusuf Manji,hahahahaaaa!!!!

Mhuuuh! .naishi Tabata bima lol.
 
Back
Top Bottom