Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
Hello wanaJF ninayofuraha kuwaalika katika birthday party yangu hapa nyumbani i wish niwe nanyi wadau kwani MMU makes my life very comfortable ila mazingira hayaruhusu. LOVE U ALL
Hongera sana Mkuu. Hivi unatimiza miaka mingapi vile? lol
OMG nifuraha sana twin inabidi tukipata uzima next time tupange part na wana MMU.Hata mimi nimezaliwa leo, miaka mingi iliyopita. Happy B'Day twin
Thanks lol!Furahia sikuyako ya kuzaliwa Baba Erick
thanks mkuuHongera ya kuzaliwa mkuu
Hello wanaJF ninayofuraha kuwaalika katika birthday party yangu hapa nyumbani i wish niwe nanyi wadau kwani MMU makes my life very comfortable ila mazingira hayaruhusu. LOVE U ALL
oa..... Happy Birthday.....oa
Pole kwa kuzaliwa siku ya maombolezo
Hongera. Mungu akupe maisha marefu.
Hello wanaJF ninayofuraha kuwaalika katika birthday party yangu hapa nyumbani i wish niwe nanyi wadau kwani MMU makes my life very comfortable ila mazingira hayaruhusu. LOVE U ALL
unaishi wapi Mkuu nikuletee angalau thubu ya kongoro? Hepi besdei ndugu yangu.Hauolayunao?
mkuu lazima uwe unanuka hela maana mnashea besdei na Kibopa Yusuf Manji,hahahahaaaa!!!!