Ushaambiwa usipofanya kazi utakufa kwa njaa..sa we kalia kwa hayo masifa ya social media!
Mwandiko wa mwanaume huo unless ni wa kina Delicious!!!, hakuna mwanamke mwenye mwandiko wa hivyo!
Fanya kazi acha kutafuta sifa za picha yako ku trend!
Umenielewa..."ukweli ni ukweli tuu"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.