Jamani nimesikia Mh. Halima Mdee Kapata ajari je ni kweli (TRASHED: Si kweli)

Sina pa kwenda

Senior Member
Nov 18, 2010
113
15
Ndugu zanguni nimepata ujumbe kwenye simu yangu kwamba Mh. Halima Mdee amepata ajari sasa nilikuwa nataka kujua ni kweli au laaaaaaaaaaaaah.
 
ndugu zanguni nimepata ujumbe kwenye simu yangu kwamba mh. Halima mdee amepata ajari sasa nilikuwa nataka kujua ni kweli au laaaaaaaaaaaaah.

unautani na huyo aliye kutumia ujumbe? Kama si utani mpigie akujulishe hali yake zaidi
 
Kapata ajali wapi na saa ngapi? Mbona usimuulize aliyekupatia ujumbe?
 
Watu kwa kuwaombea wenzano mabaya,sasa si uconfirm na uyo aliekupa news
 
Ndugu zanguni nimepata ujumbe kwenye simu yangu kwamba Mh. Halima Mdee amepata ajari sasa nilikuwa nataka kujua ni kweli au laaaaaaaaaaaaah.

Mh. Halima yuko salama salimini.Nimeongea naye hivi punde.Mod close this thread ASAP
 
Ndugu zanguni nimepata ujumbe kwenye simu yangu kwamba Mh. Halima Mdee amepata ajari sasa nilikuwa nataka kujua ni kweli au laaaaaaaaaaaaah.
AJali ipi ? Ya kisiasa kama aliyodaiwa kupata mh Lowasa na wenzake hadi kupelekea mtoto wa mkulima kuongoza shughuli za sirikali Bungeni?
 
Kwann ifungwe?zen wat do u mean umeoongea nae now?maana dakika nikubwa eti,kinldy re chake nae tena,zen utatuambia but if u dnt mind.
Mh. Halima yuko salama salimini.Nimeongea naye hivi punde.Mod close this thread ASAP
 
mnatakiwa kuwa makini kuna watu siku moja watashitakiwa na kuletwa kwenye vyombo vya sheria kwa kuandika majungu na habari za uwongo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom