Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,200
- 3,761
Naomba Mungu hii habari iwe tetesi tu.
Na iwe hivyo kama uilvyosema na kama mleta habari umezusha nakuombea rehema kwa Mungu
Naomba Mungu hii habari iwe tetesi tu.
Na wewe pia umeongea naye kwa sms?... nimeongea naye muda huu ...
Mh. Halima yuko salama salimini.Nimeongea naye hivi punde.Mod close this thread ASAP
si kweli ni mzima nimeongea na sasa hizi kwa sms