Jamani Nimeshindwa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
248804_293807450731215_512743397_n.jpg
 
hapo kwenye NIMESHINDWA ilikuwaje hadi akainama
namna hiyo, alikuwa msibani??
 
Hilo tumbo la wassira sipati picha akiwa na my wife wake. Kweli hata mie nimeshindwa
 
tulichagua porojo sio sera zinazotekelezeka na kiongozi wa kweli .......ndo kosa letu wabongo

Tatizo ni pale wenye muamko wanapozidiwa idadi na waliolala.Kuna baadhi ya wananchi ambao hawajui hata kesho wakiamka watakula nini na hali za maisha yao ni duni kupindukia lakini kutokana na upofu wa elimu na kutojua haki yake kama mwananchi katika kuleta mabadiliko basi ikifika wakati wa uchaguzi yeye atakumbuka kanga na kofia aliyopewa jana yake na mijamaa inaendelea kutuibia.Kazi kubwa inabidi ifanyike kuwaamsha hawa ndugu zetu ili tufanikiwe katika kuwatoa hawa wakoloni....
 
Hadi pale fedha na siasa zitakapo tenganishwa, ndio maendeleo yatapatikana, vinginevyo hali itazidi kuwa mbaya kila uchao!!
Wakati wa baba wa Taifa mtu alikuwa hashobokei nafasi ya siasa, kwa sababu haikuwa dili, leo mtu anadiriki kuuwa
mtanzania mwenzake au kufanya dhambi yeyote ile ilimradi apate nafasi...
Tapata kichefu2 sana.....
 
Tatizo ni pale wenye muamko wanapozidiwa idadi na waliolala.Kuna baadhi ya wananchi ambao hawajui hata kesho wakiamka watakula nini na hali za maisha yao ni duni kupindukia lakini kutokana na upofu wa elimu na kutojua haki yake kama mwananchi katika kuleta mabadiliko basi ikifika wakati wa uchaguzi yeye atakumbuka kanga na kofia aliyopewa jana yake na mijamaa inaendelea kutuibia.Kazi kubwa inabidi ifanyike kuwaamsha hawa ndugu zetu ili tufanikiwe katika kuwatoa hawa wakoloni....
umesema kweli mkuu na ni c vijana tulio wengi ndio wenye nafasi ya kuleta mabadiliko kama tukishikamana na kufuata njia ya kweli
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom