ni wajibu wako kuwa amsha kwa kutumia kura yakoNdiyo maana tunasuasua tu kimaendeleo. Majitu yanayopaswa kutuongoza yamelala fofofo.
pamoja na kupata kikombe cha babu, bado tumbo lake lipo juu tu. Huo ni ugonjwa gani?Hilo tumbo la wassira sipati picha akiwa na my wife wake. Kweli hata mie nimeshindwa
hapo kwenye NIMESHINDWA ilikuwaje hadi akainama
namna hiyo, alikuwa msibani??
tulichagua porojo sio sera zinazotekelezeka na kiongozi wa kweli .......ndo kosa letu wabongo
umesema kweli mkuu na ni c vijana tulio wengi ndio wenye nafasi ya kuleta mabadiliko kama tukishikamana na kufuata njia ya kweliTatizo ni pale wenye muamko wanapozidiwa idadi na waliolala.Kuna baadhi ya wananchi ambao hawajui hata kesho wakiamka watakula nini na hali za maisha yao ni duni kupindukia lakini kutokana na upofu wa elimu na kutojua haki yake kama mwananchi katika kuleta mabadiliko basi ikifika wakati wa uchaguzi yeye atakumbuka kanga na kofia aliyopewa jana yake na mijamaa inaendelea kutuibia.Kazi kubwa inabidi ifanyike kuwaamsha hawa ndugu zetu ili tufanikiwe katika kuwatoa hawa wakoloni....
Hilo tumbo la wassira sipati picha akiwa na my wife wake. Kweli hata mie nimeshindwa