Jamani nimemumiss dasophy

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Jamani tunakumbuka Mpendwa wetu Da sophy alitoka hapa anaenda kujifungua jamani mwenye nyeti zake!Aagh sorry taarifa zake atujuze kama mpwa ameshaanza kutembea??:israel:
 
Mwenye nyeti zake? atakuwa anahangaika na mtoto mchanga sidhani kama tutamuona hapa mpaka azoe kulea kwanza.
 
Jamani tunakumbuka Mpendwa wetu Da sophy alitoka hapa anaenda kujifungua jamani mwenye nyeti zake!Aagh sorry taarifa zake atujuze kama mpwa ameshaanza kutembea??:israel:

labda DD zake zimekaribia au maternity!!..
 
Back
Top Bottom