Jamani nimefurahi sana

Shin Lim

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
6,981
12,395
Jamani leo nimefurahi sana yaani nilikuwa naangaika kujiunga na Jamii forum na hatimaye leo nimeweza ila tangu saa tisa natafuta sehemu ya kuingizia bila mafanikio mpaka saa hizi ni saa 12 jioni ndio nimepaona. Jamani mnipokee mi ndio wa kwanza kijijini kujiunga.
 
Weka na avatar basi?
 
Angalizo- humu jamvini kuna makundi mbalimbali.
1.Wanaojifanya kujua kila kitu. Siasa wao,uchumi wao,utamaduni wao uwe makini.
2.Wapo waliopo mahsusi kutetea ujinga hata kama uko wazi-kua makini nao
3.Wapo wale ambao hawathamini mitazamo ya wengine kwa lolote lile-kua makini nao
KWA MUDA MFUPI TU UTAWAFAHAMU.
 
Asante sana jamani, bwana Makamee mimi nipo kijiji cha Mkiu wilaya ya Ludewa hapa njia panda ya kwenda Mlangali na Liganga.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongera mwenzangu na mim mi bado kabisa sijaelewa chochote nikitaka kumtumia mtu text inakataa pia kuedit profile yangu yana asilimia 90 ya mambo yote sifaham naomba mnieleweshe pia
 
Asante sana jamani, bwana Makamee mimi nipo kijiji cha Mkiu wilaya ya Ludewa hapa njia panda ya kwenda Mlangali na Liganga.

Ahaaa wa nyumbani kabisa... hebu niPM # yako... nije kukusalimiA
 
Angalizo- humu jamvini kuna makundi mbalimbali.
1.Wanaojifanya kujua kila kitu. Siasa wao,uchumi wao,utamaduni wao uwe makini.
2.Wapo waliopo mahsusi kutetea ujinga hata kama uko wazi-kua makini nao
3.Wapo wale ambao hawathamini mitazamo ya wengine kwa lolote lile-kua makini nao
KWA MUDA MFUPI TU UTAWAFAHAMU.

Asante sana mkubwa wangu, nimekuelewa sana. Nitakuwa mpole ili niwasome.
 
Angalizo- humu jamvini kuna makundi mbalimbali.
1.Wanaojifanya kujua kila kitu. Siasa wao,uchumi wao,utamaduni wao uwe makini.
2.Wapo waliopo mahsusi kutetea ujinga hata kama uko wazi-kua makini nao
3.Wapo wale ambao hawathamini mitazamo ya wengine kwa lolote lile-kua makini nao
KWA MUDA MFUPI TU UTAWAFAHAMU.

Hiyo namba 2 ulitakiwa umtaje kabisa kuwa ni lemutuz ili mgeni aelewe. Si unakumbuka alikuwa anamtetea Pedeshee Kapuya!
 
Hongera mwenzangu na mim mi bado kabisa sijaelewa chochote nikitaka kumtumia mtu text inakataa pia kuedit profile yangu yana asilimia 90 ya mambo yote sifaham naomba mnieleweshe pia

Ukitaka urahisi wa kuedit hivyo vitu tumia computer.
 
Karibu mkiu wa mkiu njia panda ya liganga na mlangali kona ya shetani vipi bado ipo karibu jf hii sio fb
 
Back
Top Bottom