Jamani niko mitaa ya Korogwe, Same na Moshi mwezi na ila treni siioni wadau mna taarifa zozote?

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
279
480
Sina hakika na badiliko lolote la ratiba lakini Treni kwa sasa inatakakuwa kama wagosi wa kaya walivyoimba, "tulizoe kusikia vijihoni".
Yale makelele ya lile limashine na vijioni kama vinadisiapia hivi, hebu wadau tupeni taarifa zozote, au wanafanya sevisi kidogo.
 
Yale makelele ya lile limashine na vijioni kama vinadisiapia hivi, ebu wadau tupeni taarifa zozote, au wanafanya sevisi kidogo.
Wandugu kwani na ile ya Dar, aka ya mwakiembe nayo bado ipo au imetokomea wapi.
 
Sina hakika na badiliko lolote la ratiba lakini Treni kwa sasa inatakakuwa kama wagosi wa kaya walivyoimba, "tulizoe kusikia vijihoni".
Yale makelele ya lile limashine na vijioni kama vinadisiapia hivi, hebu wadau tupeni taarifa zozote, au wanafanya sevisi kidogo.
Nimepanda treni wiki haijaisha kwenda nayo dsm, na kurudi same ..wewe upo same ipi?au ya Vietnam?

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom