Jamani nifanyeje wamajf? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nifanyeje wamajf?

Discussion in 'JF Doctor' started by Mdau Mkuu, Oct 14, 2010.

 1. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Yakhe mie yamenikuta yasiyotakiwa kunikuta mie!Yapata miezi mitatu nimejikuta titi langu la kushoto limetuna na lina kama tudude tumetunatuna na ukilikamua linatoa maji maji japokuwa kwa sasa halitoi maji ila bado tule tudude tupo na tunaendelea kunikosesha amani!Kwa sasa sivai T-shirt za kubana maana nyonyo moja kubwa lingine dogo!Wadau kijiweni wanadai nimerogwa ama nimetembea na mke wa m2 au ndo homoni za kike ndo zinaanza ama za kishoga,japokuwa mzee yupo poa nashindwa kumgonga demu wangu maana aibu ndugu zangu,sa mie cjui niende wapi maana hata doctor atanishangaa kama sio kunitamani chuchu langu!Wadau nisaidieni maana nashindwa lakufanya mie?ntashukuru mkinipa ushauri!
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280


  ushauri kutoka kwangu ni uende ukamuone daktari
   
 3. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Fuata ushauri wa shosti preta
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  mdau mkuu inaonyesha unapendwa sana na Mungu, kila siku unaumwa wewe tu maskini!
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Saratani ya matiti huwashika wanaume pia kwa taarifa yako. Usiogope kwenda hospitali ukachekiwe sawasawa.
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Yaani watu wengine huwa mnashangaza sana, hata kwenda hospitali pia unataka watu wakupe ushauri...!?
   
 7. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  mkuu usifanye mchezo na hiyo kitu, hakuna daktari atakayekushangaa au kutamani hilo chuchu lako. Acha kuchezea maisha, kuwahi kufanyiwa uchunguzi ni vyema zaidi ya kukaa na hizo fikra ulizonazo.
   
 8. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Your not serious men, embu nenda kamwone dactari.
   
 9. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  go to the hospital as soon as possible,mficha maradhi.........mficha uchi......

  pole sana kaka
   
 10. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  acha kuhatarisha maisha yako ndugu kimbilia hospitali haraka iwezekanavyo hiyo hali wao wanavipimo vya kuweza kujua tatizo ni nini sisi kwa maelezo uliytoa hapa tunakupenda sana na kukushauri ukimbilie hospitali harakaa iwezekanavyo acha kufikiria hiyo habari ya kuwa umerogwa, maana waweza kwenda kumuona dr nanii kule mafichoni
   
 11. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nashukuru sana Wadau wangu,ngoja nkimbie hospital icjekuleta saratani ya Nyonyo afu wale kinamama wanaotibu bure wakanigomea bure!nashukuru sana
   
Loading...