Jamani NIDA Kuna shida gani?

whiteskunk

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
218
500
Nilijiandikisha tangu 2019 mpaka leo sijapata kitambulisho.

Cha ajabu kuna walijiandikisha baada yangu wana vitambulisho. Juzi nimeenda kuulizia tena wananiambia subiri.

Yaani mpaka nimechoka.
 

kpng12

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
706
1,000
NIDA ni pasua kichwa, nilijiandikisha 2018 huko songea yaan process zote nilishakamilisha, bahati mbaya mwez uliofuata nilihama nikaenda mkoa mwingine mbali kidogo ambako niko hadi sasa.

Chaajabu kila nikiangalia mtandaoni naambiwa taarifa zangu siyo sahihi, ukizingatia taarifa zote ni sahihi 100% na siku nimeenda kuandikisha nilikuwa na jamaa yangu yeye alishapata kitambo kupitia mtandaoni. Ndipo juzi nikapata akili nikamtuma yule jamaa aende nida nilipojiandikisha akaulizie kama kitambulisho changu kipo tayari, eti akaambiwa kipo tayari. Daaah nilichoka sana ukizingatia mambo yangu mengi yalikwama kwa kukosa nida. Ila nashukuru alinichukulia number, kadi nitaifuata mwenyewe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom