Jamani ni vije hapa...................?

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??
 
nilidhani kila mwanamke anajua kuwa hawamaanishi,hivi kweli mtu akudanganye umuache mumeo nawe ufanye hivyo unategemea kweli atakudhamini,kifupi atakuona huna akili na hakuna mwanaume anataka mke asiye na akili.kwanza nadhani wanaangalia na aina ya mwanamke wa kumrubuni na huo upudhi.
 
kimsingi huwa tunawakejeli na kuwafanyia mizaha ila tunapoona mmehadaika, tunakula kona
 
Akili na fikira zenu zinafanana,ndo maana huwa mnakuwa wepesi kuamini,bt cie ni njoko na tutaendelea kumipelekesha bana!
 
kwa kweli hilo ndo tatizo kama watu wanaoa/olewa wakati bado mtu hayuko tayari....
au kuchanganya mali na upendo....
ndo maana matatizo kama haya yanatokea....
kwa kweli sidhani kama wanawake ni rahisi kudanganyika hivyo....(especially walio na ndoa zao)
ila saa nyingine ni tamaa tuu..
kama kweli unazingatia misingi yako ya ndoa huwezi ingia kwenye hayo matatizo...
 
Nafikiri ni akili ya mtu mwenye kuweza kutambua hili jambo nalolifanya au nalomfanyia mwenzangu pia tamaa amabazo ainawaandama baadhi ya watu ndicho chanzo zha kuweza kudanyika na mwisho wa siku anajikuta amaetumika kama chupa ya bia/soda au maji
 
Bila shaka huwa wanatukejeli ,hawezi kuona uko kwa mmeo na kuamua kukushawishi muachane na mmeo na wewe unakubali.
Hapa anataka akutumie akichoka akuache na tayari anajua ameshaharibu maisha yako..
Kuna watu wamezaliwa na roho ngumu toka tumboni mwa mama zao
 
Kwa mwanamke kukubali kuacha ndoa yake na kudanganyika ni tamaa tu zinakua zinamsumbua + ulimbukeni. Kwa wanaume mimi nafikiri wameumbwa kutudanganya na huwa wanafurahia kabisa hii kitu mtu anajua kabisa hana nia nzuri na wewe lakini atatumia kila mbinu mradi tu akurubuni baadae mwingine utamsikia kabisa ile ilikua ni mbinu ya kukutongozea
 
Kama wewe ni mke wa mtu, ukiona unatongozwa, jua huyo mtongozaji wako hana lolote zaidi ya kutaka KIPOMPWISO chako tu, akisha kumega anakuacha urudi kwa mumeo.
Ukijidai umepagawa na penzi rojorojo la jamaa huyu asiye mumeo, jua imekula kwako, unajitafutia kulia kilio cha mbwa koko
Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??
 
Mie nadhani wanawake saa nyingine wanakuwa na mawazo finyu hivi kweli mtu na akili zako timamu unashawishiwa na mwanaume wa nje eti uachane na mumeo na wewe unakubali hili mimi haliniingii vizuri kichwani kabisa. Huyo anakuona bora sababu anaiba ukiingia ndani kwake atakutenda kuliko hata wewe ulivyomtenda mumeo kwa kumuacha. Tuwe na akili zetu tusiwe tegemezi siku zote
 
Maty, na wewe ni muongo tu, usiwaseme sana wanaume.
Ulipokuja JF ulikuja na mbinu ya kutafuta mchumba mwenye ukimwi, tukajitokeza ukachukua e mail address zetu na namba za simu kisha ukatutelekeza bila kujibu lolote kuwa umetukubali au umetukataa.
Kwa hasira nikija kukuta anga zangu, nikakutongoza ukaingia laini, usidhani hata kidogo nitaku treat fairly, lazima ntakumistreat na kukuharibia kila jambo lako jema
Kwa mwanamke kukubali kuacha ndoa yake na kudanganyika ni tamaa tu zinakua zinamsumbua + ulimbukeni. Kwa wanaume mimi nafikiri wameumbwa kutudanganya na huwa wanafurahia kabisa hii kitu mtu anajua kabisa hana nia nzuri na wewe lakini atatumia kila mbinu mradi tu akurubuni baadae mwingine utamsikia kabisa ile ilikua ni mbinu ya kukutongozea
 
Mjukuu hebu niukuulize: Huyo Rehani mpaka anakudanganya uachane na mumeo:

Mlikutana wapi? Mlikuwa mmesha do the needful? Mnakuwa mmeshanogewa?
 
Kwa mwanamke kukubali kuacha ndoa yake na kudanganyika ni tamaa tu zinakua zinamsumbua + ulimbukeni. Kwa wanaume mimi nafikiri wameumbwa kutudanganya na huwa wanafurahia kabisa hii kitu mtu anajua kabisa hana nia nzuri na wewe lakini atatumia kila mbinu mradi tu akurubuni baadae mwingine utamsikia kabisa ile ilikua ni mbinu ya kukutongozea

Nakukubalia almost kila kitu hapa isipokuwa hapo kwenye red. Wanaume hatujaumbwa kuwadanganya, kama mnajua tunawadanganya, kwanini mnakubali? Ukweli ni kuwa tumeumbwa kwa ajili ya MWANAMKE ZAIDI YA MMOJA.
 
babu nawe kumbe nimtaalum..sijajua lol
 
Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??
Naamini part ya majibu ya maswali yako yapo kwenye........................'''''[FONT=Helvetica, Arial, sans-serif]Love is always bestowed as a gift -- freely, willingly, and without expectation.... We don't love to be loved; we love to love. (????)~ Leo Buscaglia'''' YAKO

[/FONT]
 
babu nawe kumbe nimtaalum..sijajua lol

Goodmorning my best friend (kama kumekucha huko mtaa wa pili)

Afro, my darling, unaweza kuwa mmojawapo wa wanawake vipofu wa imani unayeamini mme/boifrendi wako hamegi wanawake wengine?
 
Kama wewe ni mke wa mtu, ukiona unatongozwa, jua huyo mtongozaji wako hana lolote zaidi ya kutaka KIPOMPWISO chako tu, akisha kumega anakuacha urudi kwa mumeo.
Ukijidai umepagawa na penzi rojorojo la jamaa huyu asiye mumeo, jua imekula kwako, unajitafutia kulia kilio cha mbwa koko

Dah Bujibuji hilo neno ni jipya au mie ndo silijui????hihihihi nimecheka mpaka machozi yananitoka......
 
Goodmorning my best friend (kama kumekucha huko mtaa wa pili)

Afro, my darling, unaweza kuwa mmojawapo wa wanawake vipofu wa imani unayeamini mme/boifrendi wako hamegi wanawake wengine?

ahhhhh babu huku karibu tunalala saa moja jioni sasa

nway kujibu swali lako....
najua kuna wanaume na wanawake ambao wanaenda kula mahali pegine ( nje)
watu wengi hawapendi kuaamini hayo kwa sababu tunataka kujua sisi ni sisi tu
na hakuna mwingine .....
lakini hii dunia ya saa ni wachahe sana ambao hawajaota mabawa...
 
Dah Bujibuji hilo neno ni jipya au mie ndo silijui????hihihihi nimecheka mpaka machozi yananitoka......

Halafu wewe hiyo martenity leave yako inaisha lini? Babu Big Braza anakumisi huku...LOL
 
Yaani MJ1....this is the same s**t am facing huku niliko kesi ya mganda bado iko palepale..ingawa sijaolewa lakini cha moto nakiona :redfaces::redfaces::redfaces:. Sijawahi kushawishiwa na mwanaume kama kipindi hii aisee halafu unajikuta saa nyingine unamuamini tu just like that kumbe hamna chochote uongo tu......nimebaki kutoa macho tu na kuhesabu siku nirudi kwetu fasta.....wana maneno matamu ya kumtoa nyoka pangoni ili mradi watimize malengo yao...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom