Niuzungu au kuporomoka kwa maadili?BABY NA HUKU imekua fashion siku hizi na ni jambo linakua kwa kasi.
Nimewahi kukutana na mambo hayo nikawa naona ni ujana ila juzi na jamaa yangu ameachana na mwanamke aliempenda na alikua na malengo ya kumuoa anasoma chuo kimoja dar toka waanze mahusiano ni miezi minne ila kwakua jamaa ni mtu wa kusafiri sana kikakazi wameweza kukutana kimwili mara 5 na huyo dada.
Muelekeo wake na mambo aliyokua anafanya siwezi kusema hapa ila jamaa kapigwa kibuti kwa maelezo hamridhishi kimapenzi maana kila akimpa ishara anachotaka hamfanyii.
Dah ndio nauliza ni kuporomoka kwa maadili?au ndio fashion NA HUKU BABY?