Jamani ni maajabu ya nzi

Eti....?? Naomba kuuliza inzi huwa wanalalaga wapi baada ya kiza kuingia?.
Una taka uwa wekee neti
naijatwittersavages-20181113-0001.jpeg
 
Inzi ni nyoko unaeza ingia msituni ndani ndani kabisa huko umbali zaidi ya km 500 kutoka kwenye makazi ya watu ukanya/Kunya/kukata gogo ila cha ajabu ndani ya dakika sifuri mavi yote yamezingirwa na nzi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom