Jamani ndugu zangu nauliza shule ya longido seck ni nzuri?

Prisila

Member
Feb 5, 2011
28
7
Jamn nina kka yangu anataka kumtoa mtto ktk shule ya baraa sec ya hapa arusha anataka kumpeleka longido sec je kwa mnaoifahamu je inafundsha? Naomben msaada 2nataka elimu bora.
 
Anasoma combination gan?. 2007 iliku last ten. Baada ya hapo wanajitahidi. Na pia nasikia mazngra ya kusoma si mabaya. Kuna ndg yangu kasoma hapo, ametoka six 2009 alifanya. Ila baraa sijaifatilia vizur perfomance yake ili nilinganishe na Longido.
NB. Shule nyng za serikal zinahitaji juhudi za mwanafunz. Hakuna shule ya serikali ambayo haina matatizo, ila yanatofautiana. Ahsante.
 
mkuu si mbaya sana kwa kusoma compare na balaa! Mwambie ampeleke tu coz mazingira yatamfanya mtoto asome mkuu!
 
Shemeji yangu wa kike kasoma hapo alipata div three akaenda six hapo Arusha , sasa kachaguliwa University. SI pabaya sana na jitihada zake mwenyewe zinahitajika
 
Shule zote za serikali zina matatizo kibao,cha msingi ni yeye mwenyewe kujituma tu!
 
Back
Top Bottom