Jamn nina kka yangu anataka kumtoa mtto ktk shule ya baraa sec ya hapa arusha anataka kumpeleka longido sec je kwa mnaoifahamu je inafundsha? Naomben msaada 2nataka elimu bora.
Anasoma combination gan?. 2007 iliku last ten. Baada ya hapo wanajitahidi. Na pia nasikia mazngra ya kusoma si mabaya. Kuna ndg yangu kasoma hapo, ametoka six 2009 alifanya. Ila baraa sijaifatilia vizur perfomance yake ili nilinganishe na Longido.
NB. Shule nyng za serikal zinahitaji juhudi za mwanafunz. Hakuna shule ya serikali ambayo haina matatizo, ila yanatofautiana. Ahsante.
Shemeji yangu wa kike kasoma hapo alipata div three akaenda six hapo Arusha , sasa kachaguliwa University. SI pabaya sana na jitihada zake mwenyewe zinahitajika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.