Elections 2010 Jamani naweza kupiga kura ya rais nje ya nilipojiandikisha?

kvelia

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
246
44
:A S 465:Wadau naomba anayejua anipe majibu kabla ya siku ya kupiga kura. Nimejiandikisha kupiga kura Dar es Salaam lakini sasa nipo mkoa mwingine, je naweza kumpigia president kura?:A S 465:
 
Kama tu utakubali kuwapa mawakala wa CCM shahada yako

Tuache midhaha, ni muhimu NEC wakatoa ufafanuzi mapema juu ya hili. Na mengine mengi ya mhimu kama kuweka daftari la wapiga kura angalau wiki hii tukajua kama tutapiga kura ama la na tupate nafasi ya kutafuta majibu mapema iwezekanavyo.
 
kisheria inatakiwa uruhusiwe kupiga kura ya rais lakini si ya mbunge ..........
 
na wanafunzi wa vyuoni, wengi walijiandikisha maeneo ya vyuo,ila wakati wa kupiga kura watakuwa kwenye likizo, ina maana na wao hawatapiga kura??
 
Ni hivi wana Jf, kama ulijiandikisha kama mpiga kura mahali fulani, utaratibu wake ni huu:- kama upo jimbo lile lile ila umehama kata moja kwenda nyingine utamchagua mbunge na rais tu, diwani hautamchagua. Kama umehama jimbo moja kwenda jingine, utamchagua rais tu, diwani na mbunge hautamchagua. So kwa muanzisha mada hii atamchagua rais tu. NAKARIBISHA MASWALI. Na mimi ili kupima kama mmeelewa ntawaulizeni maswali mwisho wa somo hili.
 
Niliuliza swali kama hili, kwamba , je naweza kupiga kura kwa rais nikiwa nimehamia jimbo tofauti na lile nililojissndikisha; nikaambiwa (siyo na watu wa tume) kwamba naweza kupiga kura kwa rais iwapo nitakuwa na passport. Bado sina taarifa sahihi na hili. basi iwapo una uhakika nalo tafadhali tujuze.
 

jamani haiwezekani kwani sheria ya kwanza ni lazima uwe umejiandikisha hapo kwenye kituo kama auja jiandikisha jinalako alipo, basu huwe kupiga.
 
:llama:Nawashukuru sana wadau kwa majibu, lakini kuna mdau mmoja ameuliza kuwa kwenye kituo cha kupiga kura huwa kunakuwa na majina ya wapiga kura wa eneo lile, je nifanyeje ili nitambulike pale kwa kupiga kura ya raisi? Passport ninayo, je? watanielewa kwa hii?




:A S 112:MAMBO YA AJABU HULETWA NA WATU WA AJABU:smow:
 
Back
Top Bottom