Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
In this photograph a police dog attacks a Kenyan man accused of stealing from ethnic Somali homes in the neighbourhood.
Hata wao wanatumia picha zetu kutuona kama wa-south wakati wa apartheid. Fikiria wakibandika picha zile za mabwepande, Morogoro au Iringa, kuna tofauti gani na hii picha yao????? Si nafuu hata hii yao wana onya wakorofi????????
Lakini raia 1 akiwa na bomu la kujitoa muhanga anakuwa na 'power' (uwezo wa kuangamiza) zaidi kuliko hao askari 5wanajeshi wa 5 raia 1