Usiombe yakukute mwenzangu

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225

_64322791_08_kenya_dog_afp.jpg

In this photograph a police dog attacks a Kenyan man accused of stealing from ethnic Somali homes in the neighbourhood.
 
Huyu jibwa ni Deutscher Schaferhund, au Alisatan,
A very strong kiumbe, agile and well muscled animal, alert, intelligent, loyal and full of life. Hapana chezea hii kitu.
 
Mwengine huyu.....

_64638355_64638354.jpg

Spanish emergency services and the Moroccan Navy intercepted three inflatable boats carrying sub-Saharan immigrants across the Strait of Gibraltar.
 
Hata wao wanatumia picha zetu kutuona kama wa-south wakati wa apartheid. Fikiria wakibandika picha zile za mabwepande, Morogoro au Iringa, kuna tofauti gani na hii picha yao????? Si nafuu hata hii yao wana onya wakorofi????????
 
Mimi nikajua ni mbwa kweli kaingia msikitini ili niseme ametumwa na wakristo.
 
Hata wao wanatumia picha zetu kutuona kama wa-south wakati wa apartheid. Fikiria wakibandika picha zile za mabwepande, Morogoro au Iringa, kuna tofauti gani na hii picha yao????? Si nafuu hata hii yao wana onya wakorofi????????

Du! Ile ya mabwe pande hawataionyesha kwa vile hadi sasa muhusika ni kutoka kwao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom