Jamani nauliza kaswali...hivi mzazi wako akikaa vibaya(.....) inabidi ufanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nauliza kaswali...hivi mzazi wako akikaa vibaya(.....) inabidi ufanyeje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipusy, Jan 21, 2011.

 1. kipusy

  kipusy JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  nina maana hawa UVCCM na hii ishu waliyoibuka nayo ni sahihi? au ingebidi wajifanye kama hawaoni au wangetumia mbinu nyingine kutoa hizo kauli zao?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nia si tamko la nini wala nini...
  The main thing was insulting Dr.Slaa, period!
  Ingekuwa ni mambo ya chama wangejadili kwenye vikao vya ndani kwa ndani!..
  The guys were just finging A FORUM for shyiting!
   
 3. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  kumchana live ili siku nyingine asije akawakalia vibaya wageni
   
 4. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Kipusy...hawa CCM na cikinda vyao wanafikiri bado akili za watanzania fupi kama za mwaka 47 za kupelekwa mzobe kama kondoo machinjoni

  Soma vizuri tamko lao between the lines utagundua hakuna lolote zaidi ya defamation na hakuna lengo jingine

  Copy my words...2015 hiyooooo imeshaanza,

  Wanatakla irudi bungeni wamsafishe mjinga mwenzao waliolala wote kwwenye matope
   
 5. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wamekwishney!
   
 6. Elly B

  Elly B JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 1,194
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimesoma kwa makini nikafikiri na kuwaza kiasi,Nilichogundua ni kuwa kama utaangalia kwa makini nia ya tamko haikuwa na msingi wowote.Why? Wanachosema ni mawaziri and specifically Sitta na Mwakyembe wamekosea kwa kupinga maamuzi ya wenzao na wirzara zao! Huu niujinga wa kuendelea kukumbatia Ufisadi.Kama wanajali wangipongeza hatua ya hawa mawaziri kwani ni ya kimapinduzi! nafikira na hawa waheshimiwa waanze kuona kuwa kuna haja ya kuachana na chama cha kihuni ilil wawe huru kupigania haki za nchi hii!
  Pia wanadai wanataka Suala la Dowans lirudi bungeni siyo kwa sababu siyo haki Dowans kulipwa kwa kodi za watanzania no ila nkwa sababu wanataka ajulikani mmiliki wa iliyokuwa mrithishaji wa Dowans (Richmond) isn't this rediculus? Wanapigania nini hawa? so as ambavyo mnaona inatakiwa irudi bungeni ili ...........................Kuna lingine hapa jamani.! But this I know kuwa hawa UVCCM hawana lao wametumwa tu! Tatizo ni kuwa hivi hawa wapuuzi wanafikiria watanzania ni watu wa aina gani?
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tushaamka siku nyingi, acha waendelee kucheza sisi tunajipanga!!
   
Loading...