Jamani natafuta Mume

cocochanel

Platinum Member
Oct 6, 2007
26,728
73,354
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

:D:D:D
:p
 
Sasa mbona umefunga PM? Hizo namba tunakupatiaje? Au tuziandike hapa alafu ukiibiwa mume uanze kulalamika?
 

Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom