Jamani natafuta jimama la ukweli

wamoro

Member
Sep 16, 2009
62
16
Jamani!!mimi ni kijana maridadi na musomi,mika 29
naitaji jimama kwa mapenzi ya kweli kuanzia 35 year
text me a sms at 0653075944
 
Maridadi wapi mkuu? Kichwani, kwenye mavazi, kitandani au wapi? Wafafanulie wadada uwarahisishie kazi
 
wamoro Junior Member
Join Date: Wed Sep 2009
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

unatutisha mkuu, yani breki ya kwanza chumbani moja kwa moja!, Lol.
 
Jamani!!mimi ni kijana maridadi na musomi,mika 29
naitaji jimama kwa mapenzi ya kweli kuanzia 35 year
text me a sms at 0653075944
....Dogo mbona unakwenda mbio sana?
mambo ya msingi ya maisha yako umeshaweka sawa au unakimbilia ngono tu wakati hata kitanda huna? Watch out usiwe unatafuta kitonga...wanaume kama mabinti!!!
 
Maisha ni kupanga na kuchagua, na huo ndio uchaguzi wake.Hana haja na kitanda na mambo mengine ya msingi kwa kuwa anajua JIMAMA anayemtaka atakuwa navyo tayari.Raha jipe mwenyewe ,pressure ya nini.
 
wamoro Junior Member

Join Date: Wed Sep 2009
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

unatutisha mkuu, yani breki ya kwanza chumbani moja kwa moja!, Lol.

Kapotea mlango hopeful.........hawa walizoea issues hizo kule Ze utamu!
 
kaza buti mwana utapata tu, mbona wapo wengi. kama upo dar nenda pale shekilangio kwenye bar au hotel inatwa rombo, hapo wakinamam wengi wenye pesa zao huenda kwa ajili ya kutafuta vijana wauza sura kama wewe, takuhudumia kila kitu ili mradi umridhishe mkuu. but angalia na ngoma mwana
 
wamoro Junior Member
Join Date: Wed Sep 2009
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

unatutisha mkuu, yani breki ya kwanza chumbani moja kwa moja!, Lol.
Mkuu George,jamaa nimem thank ili angalau awe na thank moja!
 
nimemosoma comments za baadhi ya wadau hapo,japo zimenishangaza ila naheshimu mawazo yao,ila lazima tujue ni bora kuwa muwazi wa nini unataka kuliko kupenda kwa fashion au sifa uwe sio muaminifu.
jamanin jimama ndio napenda ni bora kuwa muwazi kwenye hili kuliko kutafuta kabinti ili tu niwafurahishe watu alafu mwisho wa siki nakaua sio muaminifu!lipi la maana kati ya haya? "ndani ya kuukuli ukweli kuna jibu la kila tatizo mtu alionalo,bahati mbaya wengi huenda mbali kutafuta majibu ya matatizo yao na kusahau kuukili ukweli ndio jibu"
 
Sasa ndo unalia,humu kuna kila aina ya binadamu na kila mtu ana mtazamo wake.Unaloona linakufaa chukua but there are still alot of fishing grounds,JF is only one of them.Just keep fishing
 
Utazimiwa taa na kuulizwa kama Dully Sykes katika Nyambizi "ushakula lakini? Na nyumba yenye swimming pool unaweza kuogelea weye?"
 
Ndugu unayetafuta jimama,
Salam sana!
Ina maana umekata tamaa ya maisha maana umri ulio nao ni potential kabisa kupata mwenza wako ,mkaanza kujenga maisha pamoja.Au pengine wewe ni wale waliokuwa kula-kulala majumbani kwao na hivyo hujazoea kujishughulisha?
Au wewe ni mama's boy hivyo unatafuta mother-figure uendelee kulelewa.
Tujuze agenda yako hasa tuielewe.
 
Admittedly the approach may appear to be tawdry to some peoples taste, but other value directness more than tradition these days.

Wewe unajuaje kama anataka hayo yote uliyoyataja? Una haki gani ya ku condescend hizi values?

Wewe unajuaje kama mzao wake ulichukuliwa na jibaba na yeye akaona isiwe tabu ngoja nichukue mzao wa jibaba?

Halafu unajuaje kama anataka kuhudumiwa kimaslahi, pengine anataka jimama la kulihudumia?

Hivi kila mtu anataka "maisha ya pamoja"? Unajuaje kama mshashi zake si za kukutana la limama lake halafu kuridhishana then after hapo kila mtu kivyake?

Where do you get the right to force someone to be what he doesnt want?

Hii inaweza kuwa ni namna moja ya wanawake kuonyesha usawa na wanaume.
 
Wewe unajuaje kama anataka hayo yote uliyoyataja? Una haki gani ya ku condescend hizi values?

Wewe unajuaje kama mzao wake ulichukuliwa na jibaba na yeye akaona isiwe tabu ngoja nichukue mzao wa jibaba?

Hivi kila mtu anataka "maisha ya pamoja"? Unajuaje kama mshashi zake si za kukutana la limama lake halafu kuridhishana then after hapo kila mtu kivyake?

Where do you get the right to force someone to be what he doesnt want?

Hii inaweza kuwa ni namna moja ya wanawake kuonyesha usawa na wanaume.

taratibu ndugu yangu..... mwache anijibu mwenyewe..usimsemee......
 
Sijamsemea, nime attack your weak arguments.

Kitu kinachokuwa posted hapa ni cha forum, kama ulitaka jibu kutoka kwa mwenyewe ungemwandikia PM.

Huna majibu nini?
 
Siitaji msaada!!wala kulelewa!!nachotaka ni mapenzi tuuu!!
Na jimama lina nifaa,ni uchaguzi wangu!!!
 
Jamani!!mimi ni kijana maridadi na musomi,mika 29
naitaji jimama kwa mapenzi ya kweli kuanzia 35 year
text me a sms at 0653075944

...mnh, baada ya albino mnaanza na mijimama sasa...:( (am joking)
Powa sana braza kaka, umeona mbali wewe... hata mimi ningekuwa na uwezo
wa ku turn back hands of time, aaaah... ningemtafuta aliyenizidi miaka!...
 
wamoro Junior Member
Join Date: Wed Sep 2009
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

unatutisha mkuu, yani breki ya kwanza chumbani moja kwa moja!, Lol.

Kaingia humu kwa kazi hiyo moja. Hajui humu ndani ni jamvi la great thinkers.
 
Mkuu dah umeniacha hoi jaribu kwenda kule darchat a.k.a marafiki.com utamega mpaka uchoke kwa hapa sijui.
 
Siitaji msaada!!wala kulelewa!!nachotaka ni mapenzi tuuu!!
Na jimama lina nifaa,ni uchaguzi wangu!!!

Kama ungekuwa mkweli ungesema kuwa unataka jimama kwa ajili ya kufanya zinaa nalo! Endelea tu kuiita mauti, haitakawia, itakujia muda sio mrefu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom