jamani naombeni msaada wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani naombeni msaada wenu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by chazmsangi, Oct 15, 2010.

 1. c

  chazmsangi Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nahitaji kujifunnza kuhusu mambo ya hisa zinavyofaidisha pia hata mahesabu yake ni jinsi gani ntpata faida nikiwekeza please help me
   
 2. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naomba kama utaweza, 1. chagua kampuni yoyote pale Dar Stock exchange. (Dar Es Salaam soko la kununua na kuuza hisa). Nadhani hata ukienda TIC watakupatia kwa furaha (goodluck chaz). chukua Jarida la repoti ya mwaka (The company annual report)

  2. Tutajaribu na wenzetu tufundishane, uwekezaji wa hisa zinavyofaidisha na tuchakachue aljebra kidogo.
   
 3. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hisa ktk nchi yenye fedha/uchumi usio stable ni gambling.
  Kama unaweza fanya biashara nyingine, fanya!
  Kusma majarida na kupata maelezo ni tabia njema
   
 4. c

  chazmsangi Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ahsanteni sana kwa ushauri wenu
   
Loading...