Jamani Naombeni Msaada wa kudownload You tube videos...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Naombeni Msaada wa kudownload You tube videos...!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mhafidhina, Dec 24, 2010.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanajamii mambo zenu vipi?

  Naombeni msaada wa jinsi ya kudownload you tube videos. Kwa sasa natumia google chrome browser...!

  Natanguliza shukrani zangu...!
   
 2. zolong1

  zolong1 Senior Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  download na install program moja inaitwa idm downloader utaipata hapa
  Download Internet Download Manager: high speed download accelerator
  then ukishainstall hiyo tumia internet explorel au monzira kuangalia hzo video za you tube utaona hiyo software inakuja kwa juu then unaruhusu idownload na zaidi ya hiyounaweza kutumia real player pia kudownload it means unainstall real player kwanza kwa comp yako!
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
 5. edjizzo

  edjizzo Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fungua google andika download youtube software download kisha ukipata software hiyo unapofungua youtube sehemu ya upembempuzi ina itwa http://ssssdsd .hiyo huta copy na pest kwenye software yako ambayo jina ni link ukishindwa
  utanipata kwenye facebook EDSON KENNEDY
  EMAIL edjizzo@yahoo.com
  www.chizicomputer.blogspot.com
  0712484995
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
 7. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  asanteni wakuu. na mimi nimefaidika. nina swali la nyongeza. leo mtoto wa kaka alikuja na alitaka sana kucheza game kwenye computer za racing, sports n.k. nimeshindwa kudownload ili acheze nazo, naombeni msaada hapo kwenye tuta.
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Itategemea ni games zipi na unadownload kutoka wapi....... download nyingi game uwe ni demos pia games zote huwa zina minimum requirements ya computer yako... (ram; processor; graphic cards etc) kwa ushauri ili uenjoy kucheza games kwenye pc yako inabidi computer yako iwe high end ambayo uenda ikakucost.... Ushauri wangu when it comes to games.... nunua playstation; exbox au nintendo its cheaper in long run na utaenjoy zaidi. lakini kama still unataka kucheza kwenye pc angalia minimum requirements (pia downloading games nyingi zinakuwa zina trojans na viruses beware)
   
Loading...