JAMANI NAOMBENI MSAADA WA KIELIMU

Dec 31, 2015
16
0
Jamani naombeni msaada wa kielimu kama ifuatavyo;kidato cha nne nilipata alama zifuatazo:Civics C,History C,Geography D,Kiswahili D,English language D,B/Mathematics F,Biology F....je naruhusiwa kujiunga na masomo ya uongozi wa mahakama lushoto kwa ngazi ya certificate?naombeni msaada wenu
 
Siku hizi vitu kama hivyo unatembelea website yao, Wanakuwa wameweka sifa za kujiunga na kama hawajaweka wanakuwa wameweka mawasiliano yao.Sasa kama una bundle hadi la kuingia JF umekosa vipi la kuperuse website yao?The river between utakuwa hauko serious wewe.
 
Moja ya sifa za kujiunga na Chuo cha Uongozi wa Mahakama cha Lushoto ni kuwa na ufaulu wa alama D zisizopungua nne likiwemo somo la kiingereza ktk mtihani wa kidato cha nne.
 
Back
Top Bottom