Jamani naombeni msaada hivi ukitaka kupata namba yako ya NIDA unafanyaje?

Mar 12, 2021
9
15
Jamani msaada ukitaka kupata namba yako ya nida unafanyaje kwa sasa hivi manake nimejaribu ussd code(*152*00#) imekataa sehemu ya nida siioni.
 
Ingia kwenye website yao. Nakumbuka nlihangaikaga kupata namba ya NIDA, Nikaingia jamii forum kusearch post zinazohusu NIDA nikakuta Kuna wadau wamechangia na kuweka link, hiyo link ilinisaidia nikapata number yangu ya NIDA. Search post hizo nadhani zitakusaidia.

NB, ingia Usiku wa manane kwenye hiyo link ndo inafanya Kazi faster, mchana inazidiwa utaambiwa error occurred kila saa.
 
Mm mwenyewe nimeipoteza mkuu sasa ktk kuisaka nikaambiwa njia zote zimezuiliwa saivi kuanzia Ile App yao,website na USSD code(*152*00# ) kwaio njia pekee ni kwenda ofcn kwao kama huna connection na mtu wa apo nida utanyoosha mikono kwa process
 
Website yao na njia ya USSD code ni majanga tu. Zinazingua hazifanyi kazi. Nenda ofisi ya halmashauri ya wilaya yako. Kuna kitengo cha NIDA, watakuuliza tarehe ya kuzaliwa, jina kamili na jina la mama au baba. Utapewa namba yako, hyo ndio njia ya uhakika
 
Na kupata copy au document ya kitambulisho nafanyanje wakuu maan naambiw kilaa saa kadi bado hazijaja tokea mwaka jana mwezi wa kumi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom