Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
habari za wakati huu waheshimiwa!jaman naombeni mnisaidie nipate mfadhili wa masomo yangu ya chuo,nimechaguliwa kujiunga na chu flani hapa nchini kuchukua bachelor of economics with finance lakin bahati mbaya loans board wameninyima mkopo,sina msaada wowote as mimi ni sawa na yatima tu,nalelewa na mzazi mlezi ambae nae uwezo wake ni mdogo sana,matokeo yangu ya kidato cha sita sio mabaya sana as nina division 2.12 ila ndio hivo tena jaman nashindwa kuendelea na masomo sababu ya umasikini wangu,naomba kwa yeyote atakae guswa na hiki kilio changu ani PM,nisaidieni kwa namna yoyoye ile hata mchango wa mawazo naukaribisha...natanguliza shukrani.