Jamani naombeni mbinu za kumtania mtu wangu,yaani siwezi utani kabisa,niko serious.

ha ha ha, haya mambo hayalazimishwi
unaweza ukaharibu zaidi.

Kuwa ulivyo ni rahisi zaidi kuliko kuigiza.

Kongosho..ni kweli kabisaa..nisipokunywa pombe najifanyaga serious lakini najikaushaga tu hua natafuta chocho nacheka peke angu af nikirudi nafanya aksheni hiyoo nomaa af bila kujua mi naona normal tu..na nilisha wahi kukaa na mawaziri kadhaa lakini kila ninacho ongea nastukia wanachekaaa..eti wananiita nachekesha..wakati mwenyewe napenda kuchekeshwa..yani hata sijielewagi..naeza nikaenda bar ndo usiseme kila mtu dogoo dogooo njoo huku!! huko fb ndo usiseme..stumi request!! ha ha..ucheshi na being playful its natural..nilifukuzwa shule feza boys dahh ..kwl nimekua skuiz!!
 
Kama mawaziri ni ngereja na jamii yake yawezekana usiwe mchekeshaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom