Jamani naombeni kuuliza ili nijue mtakayonijibu!:

sylvesterwille

Senior Member
Nov 29, 2013
172
225
Hivi mbona kila nikilala ucku ndoto ninazoota kila cku lazima niote nipo baharini!?? Nitafsilieni tafadhali!!!
 
Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
Hivi mbona kila nikilala ucku ndoto ninazoota kila cku lazima niote nipo baharini!?? Nitafsilieni tafadhali!!!

Mkuu una mapepo ya kiislam ngoja nikusaidie kuyatoa kwa duwa.Bismillah rahman rahim,amen! Waruzukna halala mihogo,amen! Umat wa Muhammad waongo,amen! Wallah usitujalie uvivu kama kallah ubwabwa mandondo,amen! UKISHAMALIZA KUSOMA DUWA ALAFU SEMA TOKENI KWA JINA LA YESU ALAFU USEME AMEN! SAWA MKUU?
 
kaka km

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
1,309
2,000

dua yako balaa.
 
kaka km

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
1,309
2,000
We jamaa,unaota uko baharin ww n mvuvi?yatakua mashetwani mkuu,kafanyiwe maombi mkuu.
 
uvugizi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,220
2,000
mkuu una pepo wa samaki , fuata maelekezo ya watu wa mungu na upate maombezi unapata nafuu , wakikukabili hao si wazuri hata kidogo , fuatilia vipindi vya emmanuel tv utapata ukweli , na ikiwezekana pata deliverance in jesus name
 
Aadilu

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
647
250
Mkuu una mapepo ya kiislam ngoja nikusaidie kuyatoa kwa duwa.Bismillah rahman rahim,amen! Waruzukna halala mihogo,amen! Umat wa Muhammad waongo,amen! Wallah usitujalie uvivu kama kallah ubwabwa mandondo,amen! UKISHAMALIZA KUSOMA DUWA ALAFU SEMA TOKENI KWA JINA LA YESU ALAFU USEME AMEN! SAWA MKUU?

Bila shaka umri wako ni chini ya miaka 18, kama sivyo basi una matatizo ya akili. Mtu mzima na akili yake hawezi kuandika hivi hata kama si muislam.
 
kongobelo

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
380
500
Mkuu una mapepo ya kiislam ngoja nikusaidie kuyatoa kwa duwa.Bismillah rahman rahim,amen! Waruzukna halala mihogo,amen! Umat wa Muhammad waongo,amen! Wallah usitujalie uvivu kama kallah ubwabwa mandondo,amen! UKISHAMALIZA KUSOMA DUWA ALAFU SEMA TOKENI KWA JINA LA YESU ALAFU USEME AMEN! SAWA MKUU?

Ametakasika aliyekuumba wewe kwa mikono yako..
 
kongobelo

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
380
500
Mkuu una mapepo ya kiislam ngoja nikusaidie kuyatoa kwa duwa.Bismillah rahman rahim,amen! Waruzukna halala mihogo,amen! Umat wa Muhammad waongo,amen! Wallah usitujalie uvivu kama kallah ubwabwa mandondo,amen! UKISHAMALIZA KUSOMA DUWA ALAFU SEMA TOKENI KWA JINA LA YESU ALAFU USEME AMEN! SAWA MKUU?

Ametakasika aliyekuumba wewe kwa mikono yake..
 
kongobelo

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
380
500
Mkuu una mapepo ya kiislam ngoja nikusaidie kuyatoa kwa duwa.Bismillah rahman rahim,amen! Waruzukna halala mihogo,amen! Umat wa Muhammad waongo,amen! Wallah usitujalie uvivu kama kallah ubwabwa mandondo,amen! UKISHAMALIZA KUSOMA DUWA ALAFU SEMA TOKENI KWA JINA LA YESU ALAFU USEME AMEN! SAWA MKUU?

Ametakasika yule aliyekuumba wewe kwa mkono wake
 
MTIMBICHI

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
947
225
Hivi na yale wanayoangukaga kule makanisani wanaitaje me sijaona muislam anaanguka na jini au pepo makumaku mkubwa wewe.
Mkuu una mapepo ya kiislam ngoja nikusaidie kuyatoa kwa duwa.Bismillah rahman rahim,amen! Waruzukna halala mihogo,amen! Umat wa Muhammad waongo,amen! Wallah usitujalie uvivu kama kallah ubwabwa mandondo,amen! UKISHAMALIZA KUSOMA DUWA ALAFU SEMA TOKENI KWA JINA LA YESU ALAFU USEME AMEN! SAWA MKUU?
 
mkunyegere

JF-Expert Member
Aug 21, 2013
453
225
Mkuu wewe inaonesha unakaribia kukamilisha siku zako hapa duniani,nashauri anza kuuza vitu vyako vyote na utoe benki fedha zao zote ule ili ukiondoka hapa duniani usiache kitu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom