jamani naomba wasifu wa mzee mkinga yule aliyekuwepo kwenye mjadala wa dowans last fr

mwakabana

Member
Dec 15, 2010
31
7
sio siri mzee ni very commited afu si kwanini tuko wagumu kiivi hawa wazee wana data za kutosha tunasubiri nini kuwaumbua wezi. Am sure ukimpa media coverage ka wiki yule mzee surely mafisadi wote wanakimbia nchi.
 
Rostam na vodacom yake mwaka jana alimzawadia 100m kwa bahati nasibu ya simu ili asiwaumbue lakini kameza na vidonge anaendelea kumpa
 
mkinga ana cramming capacity kubwa sana...... ndicho kinachomsaidia.... he is just a whistle blower .... and not a politician
 
Anawachachafya sana mafisadi. RA angekuwa na uwezo "angempoteza" lakini anaogopa nguvu ya umma. Cha ajabu RA huyohuyo anayeumbuliwa yeye na voda yake ndo walimzawadia mil.100 baada ya kushinda bahati nasibu.
 
Back
Top Bottom