Jamani naomba msaada wa dawa ya kujizuia kufuza

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Jamani naomba msaada wa dawa ya kujizuia kufuza Maana kwangu imekuwa Kama pepo saana

Yaani kujizuia siwezi kitu ambacho kinanikera saana

Sawa na jua kufuza sio kosa

But Kuna mazingira mengine ambayo una itaji break ili kuheshimu watu pale kitu ambacho kwangu akipo nikijaribu kujizuia inaponyoka yenyewe na kutoa bonge moja la harufu mbaya

Kama kuna yeyote ambaye anajua tatizo ili please help me
 
Jamani naomba msaada wa dawa ya kujizuia kufuza Maana kwangu imekuwa Kama pepo saana

Yaani kujizuia siwezi kitu ambacho kinanikera saana

Sawa na jua kufuza sio kosa

But Kuna mazingira mengine Ambayo una itaji break ili kuheshimu watu pale kitu ambacho kwangu akipo nikijaribu kujizuia inaponyoka yenyewe na kutoa bonge moja la harufu mbaya

Kama Kuna yeyote ambaye anajua tatizo ili please help me
Kufuza ndio kufanyaje na ni kilugha gani hicho mbona sisi watz hatuawahi sikia katika kiswahili chetu?!
 
Hakuna uhusiano
Nyeto inalegeza misuli ya anus kijana, acha ubishi.

Sijasema wote wanaofanya nyeto misuli inalegea, hapana. Ila jua kati ya wapiga nyeto 10 hawakosekani 3,4,5 watakaopata hilo tatizo.
 
Nyeto inalegeza misuli ya anus kijana, acha ubishi.

Sijasema wote wanaofanya nyeto misuli inalegea, hapana. Ila jua kati ya wapiga nyeto 10 hawakosekani 3,4,5 watakaopata hilo tatizo.
Ww utakua nalo ilo tatizo
 
Back
Top Bottom