Jamani naomba msaada hapa!.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani naomba msaada hapa!..

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mchakatoh, Jan 30, 2012.

 1. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Habari wanaJF?..mi ni mwl mpya(graduate) nauliza hv unaporipoti kituoni ndo unapewa hela ya kijikimu(siku7)pamoja hela ya mizigo(tani kulingana na km),napata siku hiyo hiyo? msaada tafadhali!
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Unawaza pesa tu!ualimu ni wito,hata bure we kafundshe tu.
   
Loading...