Jamani nani kamuona prezdaa wangu JK kipenzi cha wengi+1st Lady Mama K, nimewamiso! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nani kamuona prezdaa wangu JK kipenzi cha wengi+1st Lady Mama K, nimewamiso!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mchekechoni, Mar 7, 2011.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haki ya nani wallahi, nimemmiso sana prezdaa wangu JK na 1st Lady wetu wa ukweli, Mama K! Nani kawaona hivi karibuni? Well, nawapa Hi, popote walipo....wajue tupo watanzania wengi sana nyuma yao kuwasapoti, hususan katika kipindi hiki kigumu cha vuguvugu la maandamano ya 'amani' barani Afrika!
   
 2. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Mweeee, mweee unawatafutiani? hutaki kabisa kumwona mwenzako akipumzika nje kidogo kwa kazi kubwa anayoifanyia Tanzania . Wana JF mbo.. mchokozi mwenzinu,.
   
 3. R

  Rique Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna lolote! Hujawamiss wala nn! Unatuchokoza tu watu tuanze mwaga hacra zetu.. Wasanii wale waliopiga bao kuingia ikulu! Cjui waliloga wapi
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,271
  Trophy Points: 280
  Mpigie simu Salva Rweyemamu mwambie upo kibaha umetoka Tabora kwa mguu kuja kumpongeza kwa ushindi wake wa kishindo, basi milango ya ikulu itakuwa wazi kukusubili na utakutana nao hao wote uliowamis, kwani siku hizi ile ikulu imegeuka kuwa pango la mapunguwani.
   
 5. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah:
   
 6. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  neno moja tu....Arusha
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Loliondo?
   
 8. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Salva upo on line? Answer me please!
   
 9. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hee, so he is in Addis Ababa. Duh! Anyone with JK's private mobile number or email? It's worth talking to him if possible!
   
Loading...