Jamani nani anayemfahamu Daktari wa Kwanza wa Meno Mtanganyika pale Muhimbili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nani anayemfahamu Daktari wa Kwanza wa Meno Mtanganyika pale Muhimbili?

Discussion in 'JF Doctor' started by trachomatis, Oct 22, 2011.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Huyu mzee bado yupo. Dentists wanamwita Father of Dentistry. At times nahisi ni vema wataalamu kama hawa wakafuatwa na media na kupata kufahamu experience zao na maoni katika nyanja mbalimbali za utaalamu wao. Na huyu si mwingine...ni Dr. R.Muya.
   
 2. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Karibuni.
   
Loading...