Jamani Nakumbushia: Ile Hotuba ya JK ya Kila Mwisho wa Mwezi Itakuwapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Nakumbushia: Ile Hotuba ya JK ya Kila Mwisho wa Mwezi Itakuwapo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Jan 31, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Nina ham nayo sana.

  Leo nitasikiliza kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe. Kama haitokuwapo sitakaa nisikilize tena maisha!

  Je itakuwapo? Hotuba?
   
 2. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Hata mimi najiuliza hilo swali. Mwenye kujua atujuze tujitenge leo jioni. Ni hotuma muhimu sana, tujue analonga nini juu yA MADUDU YAKE.
   
 3. M

  MushyNoel Senior Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijawai kuisikiliza lakini na mimi nitajaribu kuisikiliza ili nione kama atagusua vichwa vya dhambi vinavotesa maisha ya watanzania.Vichwa hivi ni kama kagoda,dowans n.k
   
 4. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,142
  Likes Received: 870
  Trophy Points: 280
  Mh..... labda kwa vile ni recorded na asiwe anaongea na watu wa kundi fulani kama ilivyo utaratibu wa baadhi ya hotuba zake za mwisho wa mwezi!! ila ingekuwa ile ya kukutana na Wazee wa sehemu fulani au wahariri wa vyombo vya habari sidhani kama angethubutu!!
   
Loading...