Jamani nakufa mwenzenu kwa stress

Mh! Ngumu kumeza, nitarudi baadaye kidogo! ngoja nikafikiri kwanza.
 
Hakuna perfect Man kwenye ulimwengu huu,kama hiko kitu kinachokurudisha nyuma kinafaa kusuluhisha fanya ivyo,,usije ukaruka majivu ukakanyaga moto,,
 
jiandalie fumanizi muite na ndugu zake waje washuhudie
 
Yatakayokutokea Mungu pekee ndo anajua.Fanya kugongwa na mtu mwingine umpendae.Ndo ujue what goes around comes around
 
Ulikuwa wapi hadi ukakubali akutolee mahari? Au ulikuwa unamtega?

Afadhali umuache kwenye uchumba, na mwambie kinagaubaga!
 
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari ameshakulipia?

unakubali kuwa wewe ndio ulifanya kosa kwa kuto mchunguza vizuri....unakubali kuwa umebugi men!!!
 
:confused2:daaaa ni bora kuziba ufa kuliko kujenga ukuta..funguka hapo juu ya hiyo tofauti ..vinginevyo utapata mateso bila chuki maisha yako yote..!:confused2:
 
Tueleze sababu za kwa nini hakufai ili tuelewe kwani unaweza kukuta wewe ndio humfai!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari ameshakulipia?

tengua tu before hujajitia kitanzini ukikosa sababu waambie una mimba only that na hutaki mpa mzigo ambao c wake, japo uonyeshe concern kwamba bahati mbaya acjali atapata asiyemcheat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom