Jamani, nahitaji kujua 'Routing Numbe'r za CRDB kwa ajili ya Paypal

Delzzy

Senior Member
Jul 10, 2013
189
15
Habarini,

Samahani naomba anaejua routing number za CRDB BANK wao wana nipa CORUTZTZ ambayo ni swity code lakini ili niweze ku trasfer pesa paypal wanataka routing number ambazo zina kuwa 8 tafadhali msaada jamani.
 
Msaada kidogo apa, kwenye BoT list wameorodhesha hizi rounting number zipo namba 6 lakini wanasema izi rounting number ni lazima ziwe 9, Msaada kidogo kuhusu hili jamani...
 
Routing Number kwa CRDB ni ya nini wakati Tanzania PayPal hazipokei pesa?! Au hivi sasa PayPal (Tz) inapokea?
 
Habarini,

Samahani naomba anaejua routing number za CRDB BANK wao wana nipa CORUTZTZ ambayo ni swity code lakini ili niweze ku trasfer pesa paypal wanataka routing number ambazo zina kuwa 8 tafadhali msaada jamani.
 
Habarini,

Samahani naomba anaejua routing number za CRDB BANK wao wana nipa CORUTZTZ ambayo ni swity code lakini ili niweze ku trasfer pesa paypal wanataka routing number ambazo zina kuwa 8 tafadhali msaada jamani.
Mzee baba ulipata msaada wa routing number
 
Back
Top Bottom