Jamani nadeclare interest mi nakunywa kilimanjaro beer am not happy with colour design ya Kill light it is not catching high with class

Kichwamoto

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
3,353
4,535
Hi, JF kiukweli kama shabiki na mnywaji wa kill beer nilitarajia ushindani mkubwa kimuonekano wa kill light dhidi ya Sere light, sijui ni mimi tu maana utopolo wanajidai na design ya sere light, kill iko too masculine kwa muonekano iko faint kama target ni men then kudos kwao
 
Ivo vi light navichora, naviona piss kali .vinachelewesha chaji na high cost.shusha k vant big tafadhari
 
Hi, JF kiukweli kama shabiki na mnywaji wa kill beer nilitarajia ushindani mkubwa kimuonekano wa kill light dhidi ya Sere light, sijui ni mimi tu maana utopolo wanajidai na design ya sere light, kill iko too masculine kwa muonekano iko faint kama target ni men then kudos kwao
Huu utaalam wako wa kutofautisha hizi rangi za Bia na Design yake ungeuhamishia katika Kuishauri Tanzania Kimaendeleo pamoja na Familia yako nina uhakika tungeshakuwa kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italy na Israel ila imekuwa ni Kinyume chake.
 
Back
Top Bottom