jamani (mzungu) anacheza na chui...7 7 !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani (mzungu) anacheza na chui...7 7 !!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Linamo, Jul 4, 2011.

 1. Linamo

  Linamo JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 9,055
  Likes Received: 21,275
  Trophy Points: 280
  wanajamvi Hali zenu!
  Hawa ngozi nyeupe wana maajabu aina yao maana angekua babu yangu angeambiwa mwanga mkubwa!
  Nimemuona anacheza nao chui...tena chui hao wapo wawili wamemfanya rafiki!
  Mh! Ingekua wewe ingekua vipi?
  Nawakilisha.
   
Loading...