Jamani mwenzenu sijielewi

2 pacha

Senior Member
Dec 15, 2013
136
43
Jamani wana MMU nilikuwa naomba maoni yenu na ushauri wenu juu ya hili swala. Mimi bwana nashindwa kujielewa kutokana na pindi ninapofanya mapenzi huwa nachukuwa mda mrefu sana mpaka kufka kileleni hata kma ni raund ya kwanza.

Kwa mfano naweza chukuwa hata dakka 45 ktka raund ya 1 na kwa raund ya pili ndo usiseme coz mpenz wangu huwa yeye anapiz hata mara 3 alfu me ndo kwanza nipo kamoja,

NB: nilikuwa naomba kuulza hii inawezakuwa ni tatizo au ni ki2 cha kawaida2 kwa mwanaume?
 
Xmass ulifanya mapenzi? Yanaonyesha feelings zako ziko mbali sana most probably PORN huenda imechangia sana
 
Unapokuwa kwenye action inaonekana unawaza mpasuko wa biashara zako!

Kila jambo lina wakati wake mkuu!
 
mbona hamna haja ya kuogopa mkuu. Labda ungalkuwa hutoi kitu ndo ingekuwa tabu
 
Its a psychological problem,u can overcome it.katafute utaalam kwenye vitabu ama kwa wanasaikolojia.
 
mbona hamna haja ya kuogopa mkuu. Labda ungalkuwa hutoi kitu ndo ingekuwa tabu

Yaani watu tumetofautiana. Mimi mradi bibie kashiba kwangu ni furaha tu. Mimi nifike nisifike sio ishu kabisa.
 
Badilisha Demu, tafuta kitoto kitamuuuuu kinachoridhisha ambacho ukikiangalia tu unajiskia kumwaga.
 
mh sijui kwanini naona ka hii post imekaa kama mwandishi anatafuta njia ya kujisifia vile......
 
mkuu waonyesha wewe Ndio waomba picha hapo.....

walaaaah!!

hiyo ni specialisation ya Tangopori!

haya bana msiyoyajua matango ya porini, ni haya! teh teh teh teh!

220px-ARS_cucumber.jpg
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom