Jamani mwenzenu nateseka,naombenu msaada wenu wana jf

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
892
293
Ndugu zangu mimi n msomi kama nyinyi, kama mnavojua kwa sasa sehemu ya kupata tarifa moto moto ni Jf, ila kwa sasa laptop angu imekua inansumbua ktk kusoma modem hi n kutoka na na ant vruz ilvodtect virus na nkamua kuscan na ikaniambia nitransfa hzo fail kweny chest, bada hapo kukonect modem ikagoma na inanipa majbu yafuatayo "ACCES VIOLATION AT ADRESS 004F4852 IN MODULE 'UIMAIN EXE' READ OF ADRESS 01B38014" hvyo nkashndwa kuelewa nifanyenye asanteni kwa msaada wenu il nami niweze kushrika naji ktk jf. B BLESSED
 
Fanya restore to previous point,, fanya hivi

Click start, accesories, system tools,, restore,, kumbuka siku uliyofany mabadiliko then click pale,, ita anza upya I hope itafanya poa,, others option ni kwa kupitia registry ila ni ngumu na hatari

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Uki- restore bado virus itaendelea kusumbua peleka kwa ma-technician wa computer.
 
Swl lako Makaula limenipatia suruhosho nam kwny tatizo kama lako.

Ahsanteen sana waungwana
 
Back
Top Bottom