Jamani Munishi ni mwehu???

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Nilikuwa naangalia youtube ya Faustine Munishi anasema CCM wanataka kumuua, anasema maneno mazito kweli kweli. Bahati mbaya sijui ku-attach youtube file. Ni maneno mazito kweli kweli kama huyu bwana hana matatizo ya akili basi anatakiwa akamatwe kwa uchochezi anaofanya juu ya serikali yetu.
 
kwa kutakiwa KUUAWA akamatwe kwa uchochezi?
Je akiuawa utajibu nini?
dawa ni kuwa apatiwe ulinzi awe salama
 
Nilikuwa naangalia youtube ya Faustine Munishi anasema CCM wanataka kumuua, anasema maneno mazito kweli kweli. Bahati mbaya sijui ku-attach youtube file. Ni maneno mazito kweli kweli kama huyu bwana hana matatizo ya akili basi anatakiwa akamatwe kwa uchochezi anaofanya juu ya serikali yetu.

Heshima kwako Ntemi Kazwile,

Mkuu nadhani umepotoka kidogo raia anayetishiwa maisha yake anastahili kulindwa na si kukamwatwa.
 
Heshima kwako Ntemi Kazwile,

Mkuu nadhani umepotoka kidogo raia anayetishiwa maisha yake anastahili kulindwa na si kukamwatwa.

Naona mmeshindwa kupata sababu ya mimi kuyasema yale niliyoyasema.. Kama Serikali haikanushi hizi tuhuma na kama haimkamati kwa uchochezi basi ni hatari sana kuwa na serikali inayoua raia wake. Ni maneno mazito ambayo yanaelekezwa kwa serikali ya CCM na Kikwete. Munishi yuko Nairobi kwa nini hakamatwi? Au anesema ukweli???
 
mkuu usitete serikali ambayo aitaki kutetewa huyu munishi amekoswa kuuwawa mara nyingi sana ata uko aliko nairobi ameshavamiwa mara kibao na kila tukio anasemaga hadharani ni nani wanomtafuta kumuua anataja kabisa nafikiri ndio mana yupo hai leo kwani adui zake anawajua na amewataja na ametangazaga akiuawa/akifa azikwe kenya kwani serikali
 
Naona mmeshindwa kupata sababu ya mimi kuyasema yale niliyoyasema.. Kama Serikali haikanushi hizi tuhuma na kama haimkamati kwa uchochezi basi ni hatari sana kuwa na serikali inayoua raia wake. Ni maneno mazito ambayo yanaelekezwa kwa serikali ya CCM na Kikwete. Munishi yuko Nairobi kwa nini hakamatwi? Au anesema ukweli???

Now you are talking!
 
Kama Serikali haikanushi hizi tuhuma na kama haimkamati kwa uchochezi basi ni hatari sana kuwa na serikali inayoua raia wake. Ni maneno mazito ambayo yanaelekezwa kwa serikali ya CCM na Kikwete.
kumbe ishu hapa ni serikali kutoa tamko...sidhani kama wanaweza kusema chochote kwani kuna mambo ambayo mtu hawezi kusimama hadharani na kuyasema mpaka awe na ushahidi wa kutosha (nna hakika ndicho alichofanya munishi) na ndo maana serikali inashindwa pa kumuanzia...na isitoshe serikali yenyewe inamfahamu vyema mtu huyu!!
 
<object width="480" height="385"><param name="movie" value="http://www.youtube.com/v/AwkCgwc7VW4?fs=1&amp;hl=en_US"></param><param name="allowFullScreen" value="true"></param><param name="allowscriptaccess" value="always"></param><embed src="http://www.youtube.com/v/AwkCgwc7VW4?fs=1&amp;hl=en_US" type="application/x-shockwave-flash" allowscriptaccess="always" allowfullscreen="true" width="480" height="385"></embed></object>
 
Munishi ni mropokaji Always!, ndio maana hatumchulii hatua yoyote,!! inshort ni MJINGA +PUMBAVU = MSHAMBA!
just because ana camera na time + internet basi anatafuta cha kuongea nilishawahi kubishana naye kwa hoja mwisho nikagunduwa nabishana na mtu ambaye SIO Kabisa nikaamua kuachana naye

Safi sana Ngoshwe kwa kutuonyesha picha!,lakini, acha ubinafsi wa elimu,mpe shule Ntemi kazwile na wengine namna ya kuattach youtube ili siku zijazo tuweze kupata habari kwa kina zaidi kutoka kwa wanachama mbalimbali.Naona umeweka picha tu na kusahau kama Ntemi Kazwile alikiri hajui namna ya kuattach youtube!
 
Back
Top Bottom